Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Wanajamvi:
Nauliza: hivi hawa ma-DC kama hawapo kikatiba, yaani kazi zao hazijaorodheshwa ndani ya Katiba, jee Budget yao na mishahara inatoka wapi? Ni hela za waliopa kodi wote? Nasema hivi kwa sababu wanaonekana zaidi kufanya kazi za kichama za CCM -- hasa wakati wa chaguzi.
Kuna wengine nasikia wanashughulikia mambo ya uchawi kwa niaba ya CCM, katika maeneo yao!
mimi nasdhani ni qwakati muafaka wa CDM kuwaendea maofisini na kuwatimuwa wote.