RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 2,017
- 4,457
Wanaija wanawekeza kwenye utapeli wao wanafungua website safi , pages kwenye social media, email marketing na kila kitu as company sio utapeli wa kizembe wa wabongo wa ile hela tuma kwenye namba hii, bro stuka hao ni vijana wa naija wanaitwa Yahoo boys 😀😀Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.
Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203639