Hawa kweli marafiki damu damu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,327
24,194
20170711_091411.jpg

(Sosi: TzDaima)

Sijui kitu gani kitawatenganisha!!
 
Halima Mdee na Esther Bulaya walikuwa marafiki hata wakati Bulaya alivyokuwa bado CCM japo hilo lilikuwa haliwapendezi kabisa Ma CCM na hata mojawapo ya silaha aliyokuwa anaitumia Wassira kumkandamiza Bulaya kwenye vikao vya chama ni kwamba anatoa siri zao kwa wapinzani (kupitia Mdee).
 
Hata kwa Pilato wako pamoja!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom