Hawa kanga weupe, kijivu nk walitoka wapi?

Hawa kanga weupe, kijivu nk walitoka wapi?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,440
Reaction score
24,684
Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia.
Screenshot_20250926-162018_1.jpg


Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa kanga wengine wenye rangi tofauti na hiyo walitokea wapi?
Screenshot_20250926-161928_1.jpg


Mfano sungura Mimi katika maisha yangu nimeona sungura pori wenye mabaka meupe na meusi na wengine rangi brown 🟤 rangi nyeusi na wengine rangi ambayo sijui jina Lake Hawa wapo na ishangai kuwaona aina hizi za sungura wakifugwa.
Screenshot_20250926-162127_1.jpg


Swali langu lipo kwenye kanga!?
Screenshot_20250926-162045_1.jpg
 
Wazungu, Waafrika, Waarabu, Albino, Wachina walitoka wapi???
Unauliza swali ambalo haliendani hata kidogo.

Wapi umewahi ona kanga mweupe porini? Hilo ndo jibu habar za waarabu nitakuambia walitokea uarabuni na wazunzungu walitokea ulaya waafarika walitokea afrika.
 
Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia.View attachment 3479437

Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa kanga wengine wenye rangi tofauti na hiyo walitokea wapi?View attachment 3479436

Mfano sungura Mimi katika maisha yangu nimeona sungura pori wenye mabaka meupe na meusi na wengine rangi brown 🟤 rangi nyeusi na wengine rangi ambayo sijui jina Lake Hawa wapo na ishangai kuwaona aina hizi za sungura wakifugwa.View attachment 3479438

Swali langu lipo kwenye kanga!?
View attachment 3479439
Weupe wapo kibao hiyo kijivu inakuja pale anapokula chakula chake spesho (kama niwakufuga bandani)
 
Mi naomba kujua hivi unajuaje huyu ni dume huyu ni jike maana naona wote wako sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom