Hawa jamaa wangerudi

mussamdoe

New Member
Nov 27, 2020
2
4
Hatari

FB_IMG_1605771405643.jpg
 
Waende tu walikopeleka mboga,maana hata wakirudi watakuwa hawana mvuto,
Wakati ule walikuwa hata wakiigiza siasa wanapiga kotekote wakiamua mfano kumuigiza mrema,komba,au bunge la makinda lilivyokuwa walikuwa wanafanya kweli,

nakumbuka waliigiza Wakati ule Lowasa kaitwa na kamati ya Nidhamu kwa kuanza kampeni mapema,wakaigiza kwamba wamwita kupiga nae picha tu ila hawana uwezo wa kumhoji

Sasahivi ni waimba mapambio tu
 
Now kila mmoja anapiga mishe zake. Sidhani kama wanaweza kurudi kuigiza kama wakati ule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom