wanapigania dini. waislam wa tz hawajaandamana wala kutoa tamko hata mara moja. silence means wanawasapoti hao wauaji kwasababu wanapigania dini yao. ila mtume akichorwa hapo wanaandamana na kusababisha hadi
kifo.
ulishawahi kusikia shehe yeyote tz ametoa tamko kuwakana hawa jamaa? kwasababu wanapigana kwa jina la uislam, mbona hamjatoa tamko kumkana lakini mkiona ubalozi wa vatican mnataka kuandamana uondolewe, mkiona mudi amechorwa mnatamani hata kujitoa mhanga. safisheni dini yenu basi kwasababu inajidhihirisha kuwa ni ya kikatili, kuaji na kishetani.Hivi na wakiristo wanayasapoti haya mbona na wao hawajaandamana? Acha kukariri kutoandamana hakumaanishi kukubali
hivi na wakiristo wanayasapoti haya mbona na wao hawajaandamana? Acha kukariri kutoandamana hakumaanishi kukubali
Binafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
Binafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
...Shule inasaidia sana nashkuru kwa kulitambua hilo..
wanapigania dini. waislam wa tz hawajaandamana wala kutoa tamko hata mara moja. silence means wanawasapoti hao wauaji kwasababu wanapigania dini yao. ila mtume akichorwa hapo wanaandamana na kusababisha hadi kifo.
Huyo mchinjaji ni mzungu convert feki. Wanachinjwa na wazungu feki.mbona mpaka waislam wanachinjwa tu na hao convert feki?
​si wanasema ndo wanaenda peponi wakifanya huo u.pu.puBinafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
Binafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
wataandamanaje w3akati lao moja?????????????
Dah kumbe watanzania wengi hawajasoma na hata wenye shahada vichwa vyao vimejaa maji.. kaeni na ujinga wenu wa kutopenda kufatilia mambo.. Hivi unajua chanzo cha IS? Unajua nini America imefanya baada ya kukataliwa kuingia Syria na Its allies Russia?
Unajua Foreign Policy ya America ya Intervention and Construction maana yake nini?
Unajua kama hao IS ni agenda ya America kutaka kuipiga Syria?
Friends someni na muwe mnafatilia siasa za Amerika, msikurupe na kuanza kuusema uislamu., Akili visoda.:A S-baby:
inasikitisha,inatia uchungu,inatia simanzi
HII DUNIA SI SEHEMU SALAMA TENA