Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,424
- 8,369
Wanacheza hockey, kwao hicho kiumbe ndio mpira
Hicho kidude cheusi ni zile hirizi zinazopumua...#JustKidding
Ni hockey ya huko!
Nimefurahishwa na hiyo vurugu mechi iliyoko kwenye mchezo unaoonyeshwa na picha hii. Vilevile nime appreciate umbo la mguu wa huyo mwanamme wa katikati (kanzu ya bluu), mguu una shape nzuri utafikiri ni mzaliwa wa Katavi, loooh!!!
waasi wanajipongeza