Hawa jamaa hawatasahau walichofanyiwa

Hawa jamaa hawatasahau walichofanyiwa

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,192
Reaction score
2,120
Screenshot 2019-02-07 at 20.57.50.png
 
Wewe jamaa una matatizo ya akili na unahitaji msaada.

Hivi angalia lumumba pale kama kuna mtu anafikisha IQ ya 70.. yaani kama chakubanga enzi za katiba mpya alikua anamwaga nondo za kufa mtu.
Lakini sasa hivi amekua poyoyo..

Cheki master chief Le mutuz na akili zake.

Hapo sijamtaja mwenyekiti wenu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahahahahahahahahahabahahahhahahahahahahahhaahahahaha unamzungumzia polepole aisee yule mtu ana akili sana hawezi kuwa cdm niseme ukweli ingawa Ccm inaonekana ipo dhaifu ila ukweli ni kwamba hakuna chama chenye mipingo na majembe ya kutosha kama hiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom