Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Ni washenzi Sana hao mashoga,ngoja siku Irani ipate nyuks ndio heshima itakuwepo
 
Wala msishangae hili ni andiko kutoka kwenye bible, bado tu andiko moja kutimia lile la jengo la mfalme sulemani kubomolewa na kujengwa kwa siku moja
 
Duh, wanapiga live street aiseee noma
 
Hapo wanaweza kuwa wanatamani waone live huko Street maafa yanavyotokea
 
mashariki ya kati imejaa waarabu wenye pesa nyingi sana sana lakini akili kidogo....kiinchi kidogo kinagawa kichapo kila kona jamaa wamebaki kufuga ndevu tu...
 
Hao hamasi ndo wanazingua wao ndo wakwanza kulusha mabom na ndo wakwanza kulialia pia ndo wanasababisha maisha ya wapalestina yanakuwa magum.
Mkuu nakushauri jitahidi kupitia historia ya kweli kuhusu Taifa la Kipalestina kabla ya mwaka 1948, halafu rudi hapa utupatie mrejesho - kwa taarifa yako Wayahudi ni binadamu wakatili sana, wenye akili za kikaburu , ,wajivuni na wapitoshaji kupindukia.

Kila siku wanazuga Dunia kwamba wanaonewa na Wapalestina wakati hiyo si kweli hata kidogo, hivi inaingia akilini kwamba Wapalestina ambao hawana ndege za kivita, vifaru, artillery na magari ya deraya wanaweza kweli kuwa tishio kwa Taifa la Israel?

Kinyume chake Wayahudi ndio wanapora aridhi ya Wapalestina na kujitanua kwa kujenga makazi ya walowezi kwenye aridhi ya Wapalestina ,wana wapora Wapalestina nyumba zao na kuwapatia Waisrael walowezi kutoka Ulaya na Amerika, hawajali kama familia za Kipalestina zilikuwa zinaishi hapo tangu miaka ya 1940s!! Jamaa hawa hawana UTU hata kidogo,any level headed person hawezi kutetea binadamu wenye akili za Lucifer na kibaguzi.
 
Israel kuna watu wakatili sana. Ila wameishika dunia. Kila mtu anawaonea huruma sababu ya Hitler na upuuzi wake. Ndio watoto wa babu Ibrahimu wanavyosambaratishana huko Mashariki ya kati. The real brothers
Jiulize wangekuwa wana hali gani wasingekuwa na mfumo wa kupangua maroketi ya Hamas

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…