Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Kimsingi chochote chenye kasoro katika ulimwengu wa roho huhusishwa na nguvu za giza
Hivyo mnyama kama huyo huwezi kumtoa sadaka au kafara kwakuwa hajatimia...ina maana kile kisichotimia kimechukuliwa na nguvu nyingine Hivyo hafai
Na kama hafai kwa sadaka ama kafara basi hata kwa kula hafai
Ni kama ishu za chumaulete ukimstukia mtu wa namna hiyo mpe noti iliyopungua..yani unakata kipande kidogo unabaki nacho! Hatoipokea

Asante mshana kupitia kwako baadhi ya vitu vichache vinavyonizunguka nimevijua vizuri asili yake upande wa ulimwengu wa kiroho japo sio kwa undani zaidi ila naitaji kujua zaidi [emoji120] [emoji120]Kimsingi chochote chenye kasoro katika ulimwengu wa roho huhusishwa na nguvu za giza
Hivyo mnyama kama huyo huwezi kumtoa sadaka au kafara kwakuwa hajatimia...ina maana kile kisichotimia kimechukuliwa na nguvu nyingine Hivyo hafai
Na kama hafai kwa sadaka ama kafara basi hata kwa kula hafai
Ni kama ishu za chumaulete ukimstukia mtu wa namna hiyo mpe noti iliyopungua..yani unakata kipande kidogo unabaki nacho! Hatoipokea
Hewaa.....
Sasa umeona ndugu yangu.....umenipa elimu nyingine kubwa.....
Sasa watu kama sisi tungejuaje kuwa kiumbe kama huyo hafai kwa kafara......!!!!
Naamini kabisa watu wengi umewatoa gizani na wamefaidika na maelezo haya......
Wanyama hawa huchinjwa kwa siri kwahiyo kuna wakati sio kosa la mlaji bali hukumu yoyote humuendea mchinjaji aliyeuzaAsante mshana kupitia kwako baadhi ya vitu vichache vinavyonizunguka nimevijua vizuri asili yake upande wa ulimwengu wa kiroho japo sio kwa undani zaidi ila naitaji kujua zaidi [emoji120] [emoji120]