Hawa Halotel mboni Mtandao mzito hivi?

Hawa Halotel mboni Mtandao mzito hivi?

Hao wajinga wakati wanakuja around 2013/2014 walikuwa wanavimba kwamba wanakuja kuleta mapinduzi ya vifurushi vya mtandao, hasa Internet. Sijui ni mwanasiasa gani aliwaleta hao Vietnamese. 😁
Mara tunaunga mtandao vijiji vyote TZ, Internet itakuwa bei kiduchu. Mara ziii... jero unapewa 200MB. 😁
Hii bongo jau sana aisee.
 
Mara tunaunga mtandao vijiji vyote TZ, Internet itakuwa bwi kiduchu.
Hii bongo jau sana aisee.
Kwanini mtandao unakua mzito yaan hapa nimeamua ku-switch Airtel ila Halotel mtandao mzito balaa shida nimeunga bundle this morning nifanye issue zangu naona mtandao mzito kwa hio issue zinasimama hawa jamaa vipi kwani?
 
Hao wajinga wakati wanakuja around 2013/2014 walikuwa wanavimba kwamba wanakuja kuleta mapinduzi ya vifurushi vya mtandao, hasa Internet. Sijui ni mwanasiasa gani aliwaleta hao Vietnamese. 😁
Mara tunaunga mtandao vijiji vyote TZ, Internet itakuwa bei kiduchu. Mara ziii... jero unapewa 200MB. 😁
Hii bongo jau sana aisee.
Kumbe ni Wavietnam? 😁
 
Kwanini mtandao unakua mzito yaan hapa nimeamua ku-switch Airtel ila Halotel mtandao mzito balaa shida nimeunga bundle this morning nifanye issue zangu naona mtandao mzito kwa hio issue zinasimama hawa jamaa vipi kwani?

Mtandao ni voda tuu, japo wezi. 😁
Tigo baadhi ya mikoa inafanya vizuri, ila pembezoni huko ni jau. Airtel wao ndio muda mwingine inakata mpaka dakika 20, nusu saa.
 
Ni line ya muda mrefu mkuu nimeendelea kujitathmini ndio maana nikaamua kuja kuuliza nini shida wazee mniambie
Mtandao sio powa, utajisumbua tu ! Mabando yao pia hayaeleweki, mb zinaisha tu yani bila kujua umetumiaje ? Hawa jamaa ni matapeli..... kitambo sana niliwatemea mbali
 
Back
Top Bottom