lady black
Member
- Jul 13, 2013
- 10
- 2
loh si mchezo na vipi hao wanaopata nbc kupitia elolink wanalipwa sh ngapi
Vipi kama NBC ndo ingewaajiri kwa hiyo 400k, ingekuwa sawa..???NBC nao wamo. Wameandikiana mkataba na hii kampuni. NBC inalipa erolink then erolink inawalipa mshahara vijana wao (waliowaajiri). So km bank inalipa 700,000. per head erolink inamlipa kijana wake 400,000. 300,000 ya kwake anakula. Na hii ni kwa kila mwezi. Kampuni haiko safe, ajira zenyewe ni tempo si permanent. Ukijikwaa kdg tuu mara out.
mshahara wenyewe laki saba...kisha unamkata lol....NBC nao wamo. Wameandikiana mkataba na hii kampuni. NBC inalipa erolink then erolink inawalipa mshahara vijana wao (waliowaajiri). So km bank inalipa 700,000. per head erolink inamlipa kijana wake 400,000. 300,000 ya kwake anakula. Na hii ni kwa kila mwezi. Kampuni haiko safe, ajira zenyewe ni tempo si permanent. Ukijikwaa kdg tuu mara out.
wanachukua kabla ya kodi khs makubaliano wana mikataba na haya makampun ambayo yanasifiwa kwamba ni walipaj kod wazur km vodacom ....ki ukwel hili ni janga kwa vijana wanaotoka familia maskin ambao walijua shule ingewasaidia kuleta ahuen kwny familia zao
wanachukua kabla ya kodi khs makubaliano wana mikataba na haya makampun ambayo yanasifiwa kwamba ni walipaj kod wazur km vodacom ....ki ukwel hili ni janga kwa vijana wanaotoka familia maskin ambao walijua shule ingewasaidia kuleta ahuen kwny familia zao
kwa hiyo mkataba wa kazi
unasema mshahara wa mwezi sh. xxx, je unasema kuna makato ya agent?
mbona mimi naona kama umekaa vibaya, je hamna vyama vya wafanya kazi?
SP
naomba mnijuze hawa matapel wa mjini wanaoitwa erolink ni kampun ya nan?? serikal inatambua uwepo wake?? na hii dhulma wanaoifanya kwa vijana wa kitanzania serikal wanaijua???
kwa mishahara yote, ingekuwa ni mshahara mmoja watu wasingelalamika, sbabu weng huwa wanatoa ili wapate kazi.
Lakin inapokuwa miezi yote wao wanapata tu, ni kumnyonya anayefanya kazi mkuu