Hawa Erolink ni akina nan?

Hawa Erolink ni akina nan?

Erolink ni matapeli waliopewa idhini ya kufanya utapeli...

Erolink ni wapuuzi wanaotambulika kwa kuwapuuzisha vijana watokao vyuoni wakiwa na munkari ya kupata ajira kwenye makampuni makubwa na hivyo kuishia kunyonywa hadi naniii zao...

Erolink na majambazi wengine kama wao wataendelea kuzikamata 'goroli' za walio wengi kwani kuna baadhi ya kazi hazipatikani hadi isipokuwa kupitia kwao..
 
Erolink nawafahamu fika. Kwa lugha moja nyepesi na rahisi!! Ni wanyonyaji na hawako kwa ajili ya maslahi ya wafanyakazi. Ofisini kwao ni majungu, vijembe na makundi. Mpaka receptionist ni boss na anadharau aibu.

Hawa Erolink ni matter of time tu.
 
Erolink nawafahamu fika. Kwa lugha moja nyepesi na rahisi!! Ni wanyonyaji na hawako kwa ajili ya maslahi ya wafanyakazi. Ofisini kwao ni majungu, vijembe na makundi. Mpaka receptionist ni boss na anadharau aibu.

Hawa Erolink ni matter of time tu.
ha ha ha ha duh
 
naomba mnijuze hawa matapel wa mjini wanaoitwa erolink ni kampun ya nan?? serikal inatambua uwepo wake?? na hii dhulma wanaoifanya kwa vijana wa kitanzania serikal wanaijua???

Mi mmoja wapo mhanga wa hawa jamaa,ila niliamua kupiga chini nikarudi kijijini kulima,hakika ni mara mia ukae nyumbani umsaidie bi mkubwa kupika kuliko kuajiriwa na hawa watu,najuta afu kama wanagundu ukishaanza nao hupati kazi sehemu nyingine,Wanakulipa hela ya mbuzi afu unapelekwa nbc au voda,yaani unatumikishwa kama nn with no medical,no overtime,no any allowance,only 400k,sitaki kukumbuka kwakweli,wanafanya siri kubwa sana mkataba waliofanya kati yao na kampuni husika unayo pelekwa kama kibarua hivyo inakuwa ngumu kujua wanalipwa kias gani ila wewe unapewa flat rate 400k,kinachouma zaidi they dont appreciate ur work sana sana permanent staff wa nbc watakudharau na kuweka
classes.arrrgrrrrrrrrrr
 
kutokana na maelezo humu Napata picha kuwa hiyo kampuni ndo inaajiri then ina kupeleka ilikopata mkataba. Yaani ni kama kampuni nyingine za walinzi au wafagiaji ambao mwajiri wao anawapeleka alikopata tenda. So ni makosa kudai umeajiriwa Vodacom au NMB. Sema umuajiriwa na EROLINK imekupangia majukumu huko uendako.
 
Back
Top Bottom