naomba mnijuze hawa matapel wa mjini wanaoitwa erolink ni kampun ya nan?? serikal inatambua uwepo wake?? na hii dhulma wanaoifanya kwa vijana wa kitanzania serikal wanaijua???
Wamefanyaje?
hawa baada ya kuona ajira za shida hpa mjini wakaanzisha kampun ya kuwatafutia watu kaz kwa makubaliano ya kinyonyaj ya kuchukua asilimia arobain na nane hyo iliyobak bdo makato mwisho wa cku unajikuta una laki mbil huku hawa jamaaa bila hta kutoa jasho wanapiga hela ndefu huk we ukibak umefulia
Kwa mshahara wa mwezi wa Kwanza au mishahara yote utakayokuwa kazini?
Mi nna maswali haya....hawa baada ya kuona ajira za shida hpa mjini wakaanzisha kampun ya kuwatafutia watu kaz kwa makubaliano ya kinyonyaj ya kuchukua asilimia arobain na nane hyo iliyobak bdo makato mwisho wa cku unajikuta una laki mbil huku hawa jamaaa bila hta kutoa jasho wanapiga hela ndefu huk we ukibak umefulia
Kama huwa anakubali kufanyiwa hivi kabla hajaanza kazi, hatakiwi kulalamika. Nijuwa kuna mkataba mtu anaweka sahihi yake, sasa kama hayo yanayofuata hayapo kwenye mkataba, basi inabidi hatua za kisheria zifuate....kwa mishahara yote, ingekuwa ni mshahara mmoja watu wasingelalamika, sbabu weng huwa wanatoa ili wapate kazi.
Lakin inapokuwa miezi yote wao wanapata tu, ni kumnyonya anayefanya kazi mkuu
Na mm nauliza wanakata 48% kwa mshahara mmoja au kila mwezi kwa mwaka? km ni kwa mwezi wa kwanza si neno shukuru kwani hata kwenye nyumba kumpata mpangaji ni kazi lazima ulipe 50% ya kodi ya kwanza baada ya kupewa kodi tangulizi ya miezi 6 au 3Kwa mshahara wa mwezi wa Kwanza au mishahara yote utakayokuwa kazini?
Na mm nauliza wanakata 48%
kwa mshahara mmoja au kila mwezi kwa mwaka? km ni kwa mwezi wa kwanza si
neno shukuru kwani hata kwenye nyumba kumpata mpangaji ni kazi lazima
ulipe 50% ya kodi ya kwanza baada ya kupewa kodi tangulizi ya miezi 6 au
3
Na je hiyo Kampuni ni vp wanakutana na huyo Dalali kuwa ndiye
aliyetafuta kazi? FUNGUKA
Mi nna maswali haya....
1. Hayo makato huwa yanafanywa siri au yanawekwa wazi kabla mtu hajaanza kazi..???
2. Kama yanawekwa wazi, kwa nini mtu akubali halafu baadaye aanze kulalama wakati analalamikia kitu alichokikubali mwanzo..??
3. We unayelalamika, hicho unachikilalamikia kilifanywa siri mwanzo..??
naomba mnijuze hawa matapel wa mjini wanaoitwa erolink ni kampun ya nan?? serikal inatambua uwepo wake?? na hii dhulma wanaoifanya kwa vijana wa kitanzania serikal wanaijua???
Kumbuka, siku zote mamatizo yako ndo mtaji kwa wengine.... mtu akifa leo, watu kibao watapata pesa, haya wenye magari ya kubebea marehemu, wauza sanda, suti tai, wenye mabasi ya kusafirisha wafiwa....mkuu hpo point ni kuchukua advantage ya matatizo ya mtu kujinufaisha yaan kwa kuona m2 ana shida na kaz bac ndyo wameweka hicho kipengele cha kumnyonya kjana wa kitanzania
mkuu hpo point ni kuchukua advantage ya matatizo ya mtu kujinufaisha yaan kwa kuona m2 ana shida na kaz bac ndyo wameweka hicho kipengele cha kumnyonya kjana wa kitanzania
Mshahara unalipwa kwa nani?,
na je wanachukua baada/kabla ya makato ya kodi? Je mwajiri
anamakubaliano gani na hiyo kampuni?
Hebu tuwekee hapa baadhi ya terms tuone zimekaa aje!!