NBC na CRDB nani wabovu zaidi?
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]inasemekana kuwa CRDB BANK ndio benki yenye mtaji mkubwa kuliko benki zote za kitanzania (1...BILLION USD)
Nyani Ngabu, hakuna wa kumcheka mwenzake hapo
Atms za NBC hazikosi pesa hata siku moja
Hii taarifa inaniweka njiapanda.. Maana nataka ku-withdraw balance yangu NBC nije CRDB, Huko tena yale yale?
NBC walichonifanya.. Sitakubali.
^^
Mimi nililipa saa 4 asubuhi na siku hiyo hiyo saa 10 Japan wakanijulisha wamepata hela.hawa jamaa wamenilostisha nliagiza gari tar 2 nikalipa through CRDB nikapewa recept nasubiria BL nianze process wiki ya tatu nawauliza japan wanasema wameona TT copy hela hawaioni nicheki na bank kwenda CRDB wananambia hela haikutumwa imagine wamekaa na hela 3 weeks na nimelipa charges zote za kutuma hela dah wanasema ni uzembe ulifanyika pesa haikutumwa wamenichosha leo sitarudia tena nimetoa salio langu lote bora NMB aise
Fella
CRDB wana mapungufu yao. Lakini kuilinganisha na NBC, mhhhhh! Hapo mnaionea CRDB. CRDB.
CRDB wana nafuu sana. Na bado wanakuja kasi. NBC inaelekea kuzimu. Nilikuwa mteja wa NBC toka kabla haijagawanywa hadi 2011. It was more than too much. Wala sijutii kuhamia CRDB. Wanasikiliza kwa kiasi chake.
Ila msilinganishe na customer service ya Western world. Hapa ni kibongobongo zaidi.
mkuu sansiro12 kwangu ni uzembe ulifanyika kwa yule wa counter kutokutuma ela baada ya kuzipokea na kunipa slip nkijua ela imeshaenda kumbe aliweka pembeni sjui akajisahau 3 weeks ndo najua
Bora nibaki zangu mkombozi na stanbic tu maana huku ktoa ni fasta tu
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH]Total assets[/TH]
[TD]US$2.154 billion (TZS:3.6 trillion) (2013)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
CRDB Bank