hawa clouds fm wana matatizo gani..?

hawa clouds fm wana matatizo gani..?

sasa unaleta hapa yanini siupeleke kwenye vijiwe vyenu vya umbea umbea,wewe umeleta uzi hapa watu wachangie weunaanza siasa kwahiyo hii ndo ilikuwa ahadi yako baada ya kukatwa kwenye mgao?wewe kama umeamua kutoa maovu ya mwage hapa sio mpaka utupe masharti kuna mwanao hapa wakumtolea masharti,nenda ukawadai wezi wenzio uliokuja kuwachana hapa sisi haya tuhusu

We kenge unabahati sana..!!hivi we inadhani ni kuongea ongea tu..aftarall sijakulazimisha kikoment..hii ni social media kma unaona haijakupendeza kafungie thread nyngnr zipo nyingi tu..nakkupa taarifa tu,baada ya kuiweka hii issue kwenye public wako kwenye mchakato wa kumlipa dogo pesa yake..na kuhusu mgao njoo play time bar pale mwenge jmos nkupe offer,usisahau kuja na demu wako...ntakulipia na lodge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom