hawa clouds fm wana matatizo gani..?

hawa clouds fm wana matatizo gani..?

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,300
Hawa jamaa sijui wana matatizo gani..juzi kati walikua na kipindi/shindano la kumtafuta mtu mwenye wazo la kibiashara na mshindi angepewa milioni kumi,wafadhili walikua ni Nssf,shindano lilijulikana "kama ndoto za kitaa''jamaa mmoja anakaa maeneo ya pugu ndo aliyeshinda,wazo lake ilikua ni kurenew mifuko iliyotumika,sasa hawa clouds kwa uroho wa hela wanataka kumdhurumu pesa yake,wanamlazimisha afungue akaunti kwenye benki wanayoitaka wao,kisa ndo benki inayowapa mikopo,pia wanamlazimisha awape milioni tatu kwa maelezo kua wao ndo walio mfanya ashinde hiyo pesa kitu ambacho sio makubaliano yao,....clouds mpeni kijana pesa zake zot,acheni kuwanyonya vijana kwa sababu ya umasikini wao,mnawanyonya kwenye mziki naona hamjaridhika mmehamia na uku sasa..
 
Wataje ili iwe fundisho kwa woote wenye tamaa za kijinga
 
Kwa nn usiwataje,huu uwoga woga ndo unafanya hadi leo Tz w2 wanafanya v2ko /kuendelea na maovu.
 
Mkuu wasipo mpe kijana hela yake ntawataja tu.

Haina haja ya kuwaficha maana ndio kufuga ujinga huko. Wataendelea kuwafanyia ujinga watu wengine. Wewe waweke hadharani ili iwe fundisho
 
Huu wizi mwingine ni too much sasa hawaoni hata aibu,i bet aliyekuwa anaendesha kipindi Harris Kapinga anahusika hapa
 
nenda facebook ipeleke porojo zako,ukijiaanda ukiwa na fact njoo huku sasa,una bembelezwa useme unajoidengulisha au nawewe uko kwenye huo mgao jina lako limekatwa
The right time wil come and iwil speak openly..
 
nenda facebook ipeleke porojo zako,ukijiaanda ukiwa na fact njoo huku sasa,una bembelezwa useme unajoidengulisha au nawewe uko kwenye huo mgao jina lako limekatwa
Hey..fikiria kabla ya kuandika..niipeleke fb ili iweje?acha upumbavu na sijamwomba mtu anibembeleze sababu hata kupost sijambembelezwa na mtu..na kama wew ukimbelezwa unatoa usifikilie sote tupo hvo..
Na hata kma npo kwenye mgao sio vibaya kudai haki yangu.
 
sasa kilichokufanya uje kupost hapa ninini?? ndo maana watu wanakuponda....
 
Taja mkuu tuwalipue

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hey..fikiria kabla ya kuandika..niipeleke fb ili iweje?acha upumbavu na sijamwomba mtu anibembeleze sababu hata kupost sijambembelezwa na mtu..na kama wew ukimbelezwa unatoa usifikilie sote tupo hvo..
Na hata kma npo kwenye mgao sio vibaya kudai haki yangu.

sasa unaleta hapa yanini siupeleke kwenye vijiwe vyenu vya umbea umbea,wewe umeleta uzi hapa watu wachangie weunaanza siasa kwahiyo hii ndo ilikuwa ahadi yako baada ya kukatwa kwenye mgao?wewe kama umeamua kutoa maovu ya mwage hapa sio mpaka utupe masharti kuna mwanao hapa wakumtolea masharti,nenda ukawadai wezi wenzio uliokuja kuwachana hapa sisi haya tuhusu
 
huu sasa ni umbea na majungu,watajirekebishaje kama tutaendelea kuwaficha?
 
Hawa jamaa sijui wana matatizo gani..juzi kati walikua na kipindi/shindano la kumtafuta mtu mwenye wazo la kibiashara na mshindi angepewa milioni kumi,wafadhili walikua ni Nssf,shindano lilijulikana "kama ndoto za kitaa''jamaa mmoja anakaa maeneo ya pugu ndo aliyeshinda,wazo lake ilikua ni kurenew mifuko iliyotumika,sasa hawa clouds kwa uroho wa hela wanataka kumdhurumu pesa yake,wanamlazimisha afungue akaunti kwenye benki wanayoitaka wao,kisa ndo benki inayowapa mikopo,pia wanamlazimisha awape milioni tatu kwa maelezo kua wao ndo walio mfanya ashinde hiyo pesa kitu ambacho sio makubaliano yao,....clouds mpeni kijana pesa zake zot,acheni kuwanyonya vijana kwa sababu ya umasikini wao,mnawanyonya kwenye mziki naona hamjaridhika mmehamia na uku sasa..

Can u prove unachokisema?
 
nilipata kumsikia huyu kijana redioni. Alianzia kwa kuuza karanga pale feri nadhani. Kuna siku askari wa jiji walimkamata na kwa kua hakua na pesa za kuwahonga,walimbana na kumfunga kati ya miezi 3 au 6. Alipotoka ndio akabuni biashara ya hiyo mifuko. Kama habari hii ni kweli clouds kueni na huruma mumpe tu michono yake yote ajiendeleze. NB:Kwenye kumtaka afungue account kwenye bank waitakayo wao sio issue kubwa kwani makampuni kadhaa wanaweza kukushauri hivyo for their convinience. Lakini huko kutaka kumpiga panga mil 3,ni wizi,unyonyaji na uonevu! Apewe mzigo wake wote kama ulivyo.
 
sasa unaleta hapa yanini siupeleke kwenye vijiwe vyenu vya umbea umbea,wewe umeleta uzi hapa watu wachangie weunaanza siasa kwahiyo hii ndo ilikuwa ahadi yako baada ya kukatwa kwenye mgao?wewe kama umeamua kutoa maovu ya mwage hapa sio mpaka utupe masharti kuna mwanao hapa wakumtolea masharti,nenda ukawadai wezi wenzio uliokuja kuwachana hapa sisi haya tuhusu

Kama hutaki kuwataja huu Uzi hauna Masada wowote mkuu na ndio maana watu wanaponda Uzi wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom