Cloud Media (TV) wamezidi kwa Unyonyaji Tanzania

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Wakuu salama?

Hivi majuzi jamaa hawa walikuwa na shindano la ndoto za kitaa (kumtafuta mtu mwenye wazo la kibiashara zuri)

Mshindi apewa 10 mil,wafadhili walikua ni Nssf,mshindi akapatikana kutokaa pugu na wazo la kurenew mifuko iliyotumika.

Wakaanza kumzungusha mshindi na kumpatia msharit kibao, kama afungue akaunti kwenye benki wanayoitaka wao wakat ana akaunt kwingine, awape 3 million kwa maelezo kua wao ndo walio mfanya ashinde hiyo pesa kitu ambacho sio contact inavyosema.

Dogo akalalamika sana sehemu mbalimbali, kwa muda mpaka leo naambiwa jamaa hawa hawajamlipa pesa huyu kijana na bado akifatilia ni chenga mbaya.

Sasa nauliza nini lengo la mashindano hayo, kwanini mnamnyima kijana pesa yake, BODI YA MICHEZO NA BAHATI NASIBU sijui msaidie kijana hapate haki yake.

Asante!
 
Hivi hawa jamaa wasikiagi tu bado wanaendelea na mambo yao ya Ujanja ujanja tu....
 
Wakuu salama?

Hivi majuzi jamaa hawa walikuwa na shindano la ndoto za kitaa (kumtafuta mtu mwenye wazo la kibiashara zuri)

Mshindi apewa 10 mil,wafadhili walikua ni Nssf,mshindi akapatikana kutokaa pugu na wazo la kurenew mifuko iliyotumika.

Wakaanza kumzungusha mshindi na kumpatia msharit kibao, kama afungue akaunti kwenye benki wanayoitaka wao wakat ana akaunt kwingine, awape 3 million kwa maelezo kua wao ndo walio mfanya ashinde hiyo pesa kitu ambacho sio contact inavyosema.

Dogo akalalamika sana sehemu mbalimbali, kwa muda mpaka leo naambiwa jamaa hawa hawajamlipa pesa huyu kijana na bado akifatilia ni chenga mbaya.

Sasa nauliza nini lengo la mashindano hayo, kwanini mnamnyima kijana pesa yake, BODI YA MICHEZO NA BAHATI NASIBU sijui msaidie kijana hapate haki yake.

Asante!

Kama huna fact peleka FB!
 
Ngoja maroboti wao waje washushe ngebe na mitusi kwani siku hizi hawana tofauti na Lumumba pale jengo la vijana na opposite na mnazi mmoja!!!
 
Tayali robot moja limekuja hili big_in
 
Last edited by a moderator:
Utapeli wa kihaya ni wa kitoto na kijinga jinga. yaani hawaoni kwamba kuna kesho. nyambavcxzsdaew
 
Sasa hiyo 3m Ruge itampeleka wapi? Bado hajatosheka anazolamba THT na matamasha ya birthday,miaka 50 na oye oyee tanzania tuimbe?
 
Last edited by a moderator:
Habari umehadithiwa na wewe umekuja kutuhadithia!..Ni watu wenye bif tu ndio wataiamini hiyo habari yako sisi wengine tunataka facts. Hizi habari sijui nimesikia kadhulumiwa sijui kafanyaje ni za kike kike!...
 
bado hayajakukuta wewe,.
 
Habari umehadithiwa na wewe umekuja kutuhadithia!..Ni watu wenye bif tu ndio wataiamini hiyo habari yako sisi wengine tunataka facts. Hizi habari sijui nimesikia kadhulumiwa sijui kafanyaje ni za kike kike!...

Uwe na adabu mkuu, kijana huyu yupo mtaani hapahapa dar amesema kila kona mpaka haki za binadamu na ijumaa ametoka haki za binadamu bado hajalipwa.

Sipendi watu wenye mawazo kama wewe.
 
apeleke malalamiko yake wizara ya habari.kama bado chenga aende kwenye vyombo vya habari labda akiwavurugia image wataacha unyonyaji.hawa jamaa ni wezi sana yan,halafu wanajua sana kujipendekeza serikalini ili kuficha maovu yao,mara birthday ya rais,mara oye oye watanzania.shenzi kabisa
 
Kwa kipindi kirefu sana sishirikiani chochote na Clouds Media kutokana na mambo yao ya kipuuzi. Kwa kifupi huyo jamaa halambi hata senti moja kwa hao jamaa, waulize walioshinda magari ya bahati nasibu ya Fiesta kama walipata magari yao.
 
Uwe na adabu mkuu, kijana huyu yupo mtaani hapahapa dar amesema kila kona mpaka haki za binadamu na ijumaa ametoka haki za binadamu bado hajalipwa.

Sipendi watu wenye mawazo kama wewe.

hapo anatakiwa awashtaki pia na nssf maana nao pia walikua wadhamini unajua hiyo media imekua kama kichaka cha kufanyia uhalifu na ni mengi sana ya kitapeli yanafanyika kupitia kivuli cha hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom