Hawa Cartrack inaonekana wako serious

Hawa Cartrack inaonekana wako serious

Hata mm nilifanya nao interview mpaka hatua ya usaili.
Mwisho huyo mdada akaniambia kuwa wanaangalia experience zaidi.
Kwahiyo wenye experience ya miaka 3 waende
Ni utapeli tu. Sasa wenye experience watapatikanaje kama hakuna anatoa ajira bila expetience. Training na qualification kama hazina maana ni experience tu inatakiwa itafika mahali hawapati mtu maana wenye experience watazeeka na kufa.
 
Back
Top Bottom