Hawa Cartrack inaonekana wako serious

Hawa Cartrack inaonekana wako serious

Sam diko

Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
13
Reaction score
13
Hello wana,

Jamvi niliomba nafasi kwa hawa jamaa wa Car Tracking since last week na nimefanya interview nao kadhaa ikiwemo ya Oral through WhatsApp calls ila leo wamenitumia email kwamba wamenimwaga may be sababu sina experience ya sales mtu yyte ajaribu inaonekana wako serious.

CarTrack.jpg
 
We ulfkr wanatania? Enewei nackia ukifunga car tracking wapuuz wakiiba wanaipigisha shoti car tracking inaungua inacorrupt.
Daah niliwachukulia poa kwenye stages za mwanzo hadi waliponipangia tarehe ya oral ndio nikajua kiasi gani wako serious ila wanaonekana bado wanahuitaji
 
Mbona umeandika kama vile na wewe ni sehemu ya utapeli wao?
Tatizo lenu mnawaza negative tu mm mwenyewe nilihis hivyo lkn nimefanya nao hadi oral nimeshindwa mwenyewe ndio maana nimewa incourage wenye sifa wajaribu... kutapeliwa ni tamaa zako binafsi ww mtu unatafuta kazi halafu mtu humjui anakuambia utume hela unatuma c uzwazwa wako waache watu wajaribu
 
Kwa bandiko hilo.
Ni wizi mtupu hakuna cha Negative wala nini.
 
Kwa reputation uliyonayo hapa jf hukupaswa kuandika haya..

Car track ni international company with a big profile.

Contact details zipo online, mbona wanadai nafasi zipo?

Wewe huu utapeli umeuona wapi? Unawachafua bure hawa watu
View attachment 1823291
Sasa mkuu, badala ya kunishutumu tu, kwanini usinge compare hichi ulichopost hapa na Tangazo halisi la mtoa mada, angalia hata email address.
Hivi unafikiri Matapeli wanatapeli pasipo kuwa na Kazi? Halafu isome shutuma yangu upya,
 
Ndio maana ckusema mengi mm nimetoa room ya mtu kujiridhisha mm nime share experience na kilichonitokea na nilikiwa cautious kwa sababu nilikuwa na mawazo kama yako so instead of kubwabwaja humu ungechunguza na kuwasaidia wengine wapate taarifa kamili watu kama nyie ndio mnapotosha maana halisi ya Jamii forum kwa sababu mmekalia kuwa provoke watu ili mtukanwe
 
Hata mm nilifanya nao interview mpaka hatua ya usaili.
Mwisho huyo mdada akaniambia kuwa wanaangalia experience zaidi.
Kwahiyo wenye experience ya miaka 3 waende
 
Wewe Ndio huyo Michelle Marqua ?

Nyie ni middlemen!?

Seems like you are a Recruitment Agency!
 
Uelewa unakuwa mdogo kaka.
Unaambiwa kilichotokea kama ushahidi, ww unafikria mambo mengine.
Kwani umeambiwa ulipie lolote au ujiangalie tu kama una sifa uombe?
 
Hata mm nilifanya nao interview mpaka hatua ya usaili.
Mwisho huyo mdada akaniambia kuwa wanaangalia experience zaidi.
Kwahiyo wenye experience ya miaka 3 waende
Yaah nilichogundua wanataka mtu uwe na experience ya miaka mitatu kwenye commercial sales hawataki longolongo mm nilijua wameweka kama mkwara tujichuje
 
Uelewa unakuwa mdogo kaka.
Unaambiwa kilichotokea kama ushahidi, ww unafikria mambo mengine.
Kwani umeambiwa ulipie lolote au ujiangalie tu kama una sifa uombe?
Kuna watu wana akili ndogo sana mm nimeshare experience yangu nilichokutana nacho ili mtu mwenye sifa zaidi yangu aombe lkn unaishia kuambiwa cjui mm ndio nani ujinga ni mwingi sana hii nchi
 
Basi tu
 
Ushubwada mtupu amna kitu ... wenye akili tushawashtukia mnajijibu wenyewe tu wawili.... na ukute ni Account za mtu mmoja 😂

Acheni utapeli wa kilofa hivi
 
Back
Top Bottom