Hawa BBC wana agenda gani sijui

Hawa BBC wana agenda gani sijui

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Na Shangazwa sana na Hawa hawasomi kitabu chao kinachopinga ushoga ?? kicha vipi wanaruhusiwa kuingia kanisani? hali yakuwa hukumu yao kwenye bibilia ni hii

2. Walawi 20:13

Mtu akilala na mwanamume kama vile alalavyo na mwanamke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauwawa, damu yao itakuwa juu yao.

FB_IMG_1757248905181.jpg
 
Kuna makanisa hawawezi kuthubutu kuingia because the Spirit operating from the pulpit will be against whatever spirit is operating in them, they will not feel welcomed, unless they change / repent.

If the spirit is not convicting you of sin, it is not the Lord's spirit! That same one which raised Jesus from the dead? That cannot be the one in you.

So far everything is developing as it was prophecied:

"Msidanganywe na chochote wanachoweza kusema kuhusu kuja kwa Bwana. Siku hiyo ya Bwana haitakuja mpaka itanguliwe na kukengeuka kwa wanadamu na kumwacha Mungu. Na siku hiyo haitakuja mpaka ajitokeze kwanza Mtu wa Uovu, yule ambaye ana uhakika kuwa ataangamizwa."
2Wathesalonike.2.3.TKU
 
Kuna makanisa hawawezi kuthubutu kuingia because the Spirit operating from the pulpit will be against whatever spirit is operating in them, they will not feel welcomed, unless they change / repent.

If the spirit is not convicting you of sin, it is not the Lord's spirit! That same one which which Jesus from the dead? That cannot be the one in you.

So far everything is developing as it was prophecied:

"Msidanganywe na chochote wanachoweza kusema kuhusu kuja kwa Bwana. Siku hiyo ya Bwana haitakuja mpaka itanguliwe na kukengeuka kwa wanadamu na kumwacha Mungu. Na siku hiyo haitakuja mpaka ajitokeze kwanza Mtu wa Uovu, yule ambaye ana uhakika kuwa ataangamizwa."
2Wathesalonike.2.3.TKU
Thank you
 
Back
Top Bottom