Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,692
- 272,558
Hivi ni kweli kwamba nchi hii haina vya kulinda?
Duuuh hatari kweli moshi tuu unalindwa kwa mamilioni ya pesa
Sio kwamba limeundwa kwa dhahabu tupu hilo dubwana kama kombe la dunia,!?Hivi ni nani ataiba hili dubwana linalozindua umasikini kila mara ?
Hivi ni kweli kwamba nchi hii haina vya kulinda ?
View attachment 1954163
Tutatumia nishati jadidifu wakati unakuja kama hutaki matumizi ya mafuta.Mleta Thread Una Hoja Nzito Sana Tena Supporting Ya Picture Dubwasha Likiwaka Linakamua Wese
Linapewa Salaam Ya Utii.......
Ndiyo Ukweli Wenyeweupuuzi mtupu
Hadhi ya kishirikina? Hakuna mradi wowote uliozinduliwa na mwenge uliodumu hata kwa miezi 6, fanya uchunguzi.Basi kama hivyo hata makaburi yasilindwe..
Au hata wake za Marais waliostaafu wasilindwe...
Unajua maana ya hadhi?Huo mwenge umepewa hadhi...
Huu mwenge ulitengenezwa wapi?Hivi ni nani ataiba hili dubwana linalozindua umasikini kila mara ?
Hivi ni kweli kwamba nchi hii haina vya kulinda ?
View attachment 1954163
Kwahiyo unalinganisha mwenge na kaburi, very interesting.Basi kama hivyo hata makaburi yasilindwe..
Au hata wake za Marais waliostaafu wasilindwe...
Unajua maana ya hadhi?Huo mwenge umepewa hadhi...
Ukumbuke malkia naye ana kifimbo chake huwa kinatembezwa kwenye nchi zote za common wealth.Huu mwenge ulitengenezwa wapi?
Kama alitengeneza beberu, huko aliko anatucheka sana aisee
Hii unaikuta Tz tu bunduki inalinda mwengeHivi ni nani ataiba hili dubwana linalozindua umasikini kila mara ?
Hivi ni kweli kwamba nchi hii haina vya kulinda ?
View attachment 1954163
Boss hadhi ya nini sasa kwa kijinga cha moto? Mwenge una umuhimu gani?Basi kama hivyo hata makaburi yasilindwe..
Au hata wake za Marais waliostaafu wasilindwe...
Unajua maana ya hadhi?Huo mwenge umepewa hadhi...
Huo Mwenge ndio umebeba ushirikina wote wa ccm kushika hatamu.Basi kama hivyo hata makaburi yasilindwe..
Au hata wake za Marais waliostaafu wasilindwe...
Unajua maana ya hadhi?Huo mwenge umepewa hadhi...
Akikujibu nistuePoint yako ni ipi sasa.