Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,244
Acheni kuwa waongo, mimi nimeweka nimeweka mb20 jana saa 10jioni, mpaka sasa ninayo na zimebaki 12mb, usiku saa 6 kama umejiunga na bundle kufungua internet ni bure na bundle hailiwi, nimegungua hili leo saa sita usiku. Pia mb400 za 'internet' nazo hazisumbui.
Tatizo ukijiunga kwa kutumia mobile then ukafungua internet kwa bluetooth wireless or modem kwenye comp bundle zinaliwa haraka coz mobile page zina size ndogo kuliko PC pages! Ni kuwa makini.
Sometime unakuta bundle inaliwa kwa haraka kumbe kuna program inafanya automatic update kila ukifungua internet mf window media home, real player na antivirus progr huwa zinapenda tabia hiyo. Check settings za kila program ulizönazo