Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,623
- Thread starter
-
- #61
Nimefurahi maana umesema mke wako utampost Extrovert.Ntampost mke wangu ambaye tuko officially kabisa. Other than that sifanyii GF hilo. Maana mwanamke unampost anaona kama yeye ndio yeye dunia nzima anaanza kejeli.
Kwangu ni kawaida saaaaana, kwanza napenda sana kutopostiwa ili nikiacha/achwa ni kati ya mimi na yeye sio ukiacha/achwa dunia nzima inajua umemwagwaSawa Alvin, turudi kwenye mada sasa.
Wewe utachukulia kawaida?
Wewe ndo una akili fupi. Upo busy na shosho media.Sikutegemea kama huku kuna watu mna akili fupi namna hii. Yaani sikutegemea kabisa.
Huu ni mjadala, na haumjui kila mtu zaidi sana unajijua wewe mwenyewe. Unaposema "watu wenye ndoa zao huwa hawahangaiki" unadhihirisha pia hautumii akili kwenye kuchangia.
Kilichokuwa kinahitajika hapa ni wewe unaonaje na sio kuanza kutoa theories zako zinazofanya kazi kwenye akili yako tuu.
Asante kwa kuchangia, soma maoni ya wenzako ujifunze tofauti kati ya "kushiriki mjadala kwa kutoa maoni" na "ku hukumu" ukijidai unajua watu wanavopaswa kuishi.
Karibu tena.
I totally agree. Mahusiano ya kiutu uzima hayawi based kwenye kupostiana.Wasichana waopenda kupostiwa Mitandaoni wana sifa zifuatazo:-
Mimi sikuweki hata screen server 😎 ya simu ya torch but Utajipata kwenye SCREEN SERVER YA DESKTOP YA NYUMBANI
- Wanadate na mabishoo/brazamen/tozi/wauza sura
- Wanashindana na rafiki zao on social medias (wanaishia kuporwa wapenzi)
- Watoto kiakili sio kiumri (Nasisitiza hili)
- Wabaya wa sura na wanadeti na #1 hapo juu
- Wapo insecure/ hawajiamini kwenye mahusiano wanahisi wanaibiwa/ hawawaamini wapenzi wao hawa ukiwaoa ole wako uvue pete, utapelekwa hadi kwa Shekhe/Paroko/ Mchungaji
- Watoto wa kisure au Uswazi.
- Watumwa wa mahusiano
- WASHAMBA WA MITANDAO
Sema alisikika jasiri mmoja.Thank you.They can steal him for part time. But he will be mine, and all rights reserved.
"Alisikika mtu mmoja akisema kwa hofu"
Asante😉Nimefurahi maana umesema mke wako utampost Extrovert.
Kila la heri.
Sawa AlvinKwangu ni kawaida saaaaana, kwanza napenda sana kutopostiwa ili nikiacha/achwa ni kati ya mimi na yeye sio ukiacha/achwa dunia nzima inajua umemwagwa
Unaipost?Ngoja nisome mi nishajikomiti na beer
Sijakuelewa UshimenHauna ya kwasababu kiswahili?
Asante verifaidi yuza.Karibu jeiefu
I appreciate your comment Eli79.In this case, age really matters. I remember back then when I was active in FB and WhatsApp by uploading pictures, my significant other never bothered to know or even ask me if I would one day post her on my "wall" or even on my status. But I did it knowing that by doing so I would make her feel secure and loved.
Now that time has elapsed, looking back at what I was doing, "totally rubbish". Social networks are for fake life, showing off and in reality there's nothing much one gains by posting his/her partner. It's there for likes and time wasting.
Unaipost?
so you think he post you he will not cheat ?? come on now people are married share everything with kids but they still cheat with a women who knows that the man his marriedJust to be sure he's not dating or approaching other girls and acting like he's single.
Asante Paula!I appreciate your comment Eli79.
I learned something. Thank you.
IsalimieNop kutoipost haimaanishi siipendi naipenda kwelikweli kuna watu hawapend hzi habari za social media mi ni mmojawapo