Have you ever...

Benefited a friend or benefiting from a friend? (FWB)

Was jelousy ever involved later or just a casual thing?

Mli/naendelea kubenefitiana au mlibaki friends wa kawaida tu?

Was it ur co-worker, Cousin, family friend, schoolmate au friend's spouse?


Mhhh!!! Kwa sisi wenye familia hiyo si ndo cheating?!
 
Ciello hujakutana na mazombi wengine hawakati tamaa mtu miaka na miaka yupo tu unamuambia wapi hakati tamaa ukikata kona kabla hujafika ya pili huyoo kama kupe.

ahahahah kumbeee....dah sijawahi fanya hivyo....tena mie zombi likiniomba game na urafiki unaisha....siwezi kumpa zombi nafasi ya kunijua kihivyo....kuna moja lilikuwa liko tiifu kweli kumbe linawinda mzigo ila linashindwa kusema, akaja mwenzie mjanja akapata chance tena ya u-bf basi likaanzisha bifu na bf wangu....likawa linasema limenyang'anywa tone mdomini kulinda heshima ya bf nikalishit...
 
Back
Top Bottom