Have you ever...

hahahahahah maneno meeengi ...kumbe nawe walipaga fadhila lol kweli kila mtu na weakness yake...
Hahaaaaa! Choko mchokoe pweza binadamu mie hutoniweza!!!!!! Yupo lecturer mmoja hivi huko Moro, friend of a friend, Mtu wa Singida huko, huyu alikuwa na kaushamba flani of which i found it kind of sexy!!!! Mtu anakutendea wema mpaka unatamani kumkimbiaaaa!!!!!!!!! Khaaaaaaaaa! Sijaona! Unamnyima yeye anazidisha wema tu! Kila ijumaa yuko Dsm, full kula pesa yake weekend yote bila bila! Basi nikakata shauri nilipe fadhila!

Nikaenda mpaka Moro kwake, kilichoharibu hapo anapoishi kuna Msela wangu jirani kaolewa huko, nikapitia kwanza kumsabahi! Nikamwambia nimekuja kwa flani!!!!! Akaniambia hafai hafai hata kwa mbolea!!!!!!! Anafyeka vitoto vya chuo kwake bila huruma!!!!! Hapo kwake kila siku sura mpyaaaaaaaa! Chezeya halfcast wa kinyaturu na kinyamwezi weye?

Nilipigaje U turn kuwahi Abood la mwisho la saa mbili, msamvu paleee! Kiranga chote kwishaaaaa! Bado pesa zake nakula lakini kufidia risk ya HIV iliyonikosa! Na wala hajali, anajua iko siku!!!!! LOL!
 
hahahahahahh mamito sijaelewa swali!!!hebu liweke kwenye lugha nyepesi nielewe...au nimwite ticha Natalia anifafanulie...

hhahahhahahha bora usimwite hachelewi kusema mamangu ana nyumba ,mikocheni tulikuwa tunakula nini sijui manake si wamjua tena yule mama wa nusu kaputi!
swali linasema hivi ushawahi kummegea zombie,we si uanwajua mazombie yenu we na lara 1 basi sasa haijawahi kutokea siku umelipa tu ,halijakuomba wala nini umelipa tu na kesho mkwara pale pale!hamna cha kuitana baby wala nini na unaendelea vile vile kumtuma kwa bf ampelekee kadi ya ''i love yu honey!'' tena ikiwa wazi!
 
Kaunga najaribu kuitafuta mantiki bado sijaipata..ngoja nijilaze nikiamka ntakuja kuendelea na topic!
Ila off-record viko vya kushare but........kuna kaugumu flani!
Ntarejea mamaangu kudadavua zaidi jinsi ya kujibinafsishia kitu za mafriends!
Si umemuona Nyani Ngabu na The Boss wamejing'atang'ata tu!
 
ahahahah kumbeee....dah sijawahi fanya hivyo....tena mie zombi likiniomba game na urafiki unaisha....siwezi kumpa zombi nafasi ya kunijua kihivyo....kuna moja lilikuwa liko tiifu kweli kumbe linawinda mzigo ila linashindwa kusema, akaja mwenzie mjanja akapata chance tena ya u-bf basi likaanzisha bifu na bf wangu....likawa linasema limenyang'anywa tone mdomini kulinda heshima ya bf nikalishit...
hhahahhahahha bora usimwite hachelewi kusema mamangu ana nyumba ,mikocheni tulikuwa tunakula nini sijui manake si wamjua tena yule mama wa nusu kaputi!
swali linasema hivi ushawahi kummegea zombie,we si uanwajua mazombie yenu we na lara 1 basi sasa haijawahi kutokea siku umelipa tu ,halijakuomba wala nini umelipa tu na kesho mkwara pale pale!hamna cha kuitana baby wala nini na unaendelea vile vile kumtuma kwa bf ampelekee kadi ya ''i love yu honey!'' tena ikiwa wazi!
 
Good question..
kissing na cyber-sex pia....lol....
je nazo zinahesabika?
I think zinahesabika as ungekua na uwezo wa kua face to face mngeenda all the way.
that is different from kissing because kissing mngeweza kuendelea but mkaamua kuachia hapo
 
mie hii haijawahi........ Natamani nipate experience za watu humu

Wamegoma kutiririka, ila ukiwauliza kama kuna ubeste kati ya mkaka na mdada wanaume watagoma ingawa wanawake watasema hiyo ipo tu sana. This tells me something!

Ila mimi ninachoweza sema hii maofisini inakuwepo kuliko watu wanaweza admit.
 
Good question..
kissing na cyber-sex pia....lol....
je nazo zinahesabika?

Naweza hisi cyber sex inakuhusu sana, na hivi ni mmoja kati ya popular guys hapa JF (Avater, MMU King 2011, interrview na lara 1), jibu ni YES maana mngepata nafasi ya kupiga live mngeenda all the way! LOL
 
Last edited by a moderator:
Ciello yule HB with six pack mlokutana kwenye seminar was a one night stand au?
 
Last edited by a moderator:
imenikumbusha mbali kidogo! nilikuwa na friend wangu wakike, she was a gud friend of mine! xa kuna siku nilimtania kuwa i'm functionless (mashine yangu haisomi), kuanzia hapo urafik uliisha...nilishndwa kumwelewa! hadi namaliza chuo anaamini hvyo....
 
kwa kweli sijawai kula hela ya mtu

Jamani hata pesa haihusiki hapo. Nikupe mfano, uko na friend wako (best), then at one point unakuwa down n he is there for you then mnajikuta mnaenda all the way. Au umesafiri na mfanyakazi mwenzio mkajikuta after dining n drink labda a movie au nini mkaendelea.

Mfano wa mwisho ndio ulionikuta mimi na mzazi mwenzangu; ofcourse nilikuwa namzimikia sikuweza kumwambia naye alinizimikia na kumwambia mtu mwingine so kwa upande wangu nilikuwa sort of informed. Mapenzi yalilast 4 years. Sasa kuna ambao kila mtu ana commitment na wanajua hawawezi au haifai kuwa pamoja so kwa nje ni friends lkn wanaenda zaidi wanapohitaji.
 
imenikumbusha mbali kidogo! nilikuwa na friend wangu wakike, she was a gud friend of mine! xa kuna siku nilimtania kuwa i'm functionless (mashine yangu haisomi), kuanzia hapo urafik uliisha...nilishndwa kumwelewa! hadi namaliza chuo anaamini hvyo....

Ha ha ha, u were of no benefit to her! LOL
Mjibu Smile basi, vijipseodobenefits kama Vocha, shule na lunch si ulikuwa unabenefitisha?
 
Last edited by a moderator:
Jamani hata pesa haihusiki hapo. Nikupe mfano, uko na friend wako (best), then at one point unakuwa down n he is there for you then mnajikuta mnaenda all the way. Au umesafiri na mfanyakazi mwenzio mkajikuta after dining n drink labda a movie au nini mkaendelea.

Mfano wa mwisho ndio ulionikuta mimi na mzazi mwenzangu; ofcourse nilikuwa namzimikia sikuweza kumwambia naye alinizimikia na kumwambia mtu mwingine so kwa upande wangu nilikuwa sort of informed. Mapenzi yalilast 4 years. Sasa kuna ambao kila mtu ana commitment na wanajua hawawezi au haifai kuwa pamoja so kwa nje ni friends lkn wanaenda zaidi wanapohitaji.
ahaaa nimekuelewa sasa mimi ninae rafiki yangu wa kiume ni my best friend till now yaani hata niwe na shida gani atanisaidia,nimesoma nae toka o level i really like him.. sasa one day tukatoka wkend moja akaja na msichana kiukweli niliumia ila nilielewa maana najua hatuwezi kuwa wapenzi maana namtreat kama ndugu yangu hope unaelewa ukishazoeana na mwanaume ni ngumu kuiconvert kuwa mapenzi.. basi siku kikapita one day tena tunatakiwa tutoke nikamwambia siwezi kuna mtu nipo nae aiseee toka siku ile naona mambo sio mazuri hadi sasa.. anataka kujua ni nani huyo yaani naona kama amenichukia kweli nikimuuliza tu kitu ananijibu yule mtu hajui and the like...hata sielewi but hajawai hata kunitongoza
 
Back
Top Bottom