Hahaaaaa! ***** mchokoe pweza binadamu mie hutoniweza!!!!!! Yupo lecturer mmoja hivi huko Moro, friend of a friend, Mtu wa Singida huko, huyu alikuwa na kaushamba flani of which i found it kind of sexy!!!! Mtu anakutendea wema mpaka unatamani kumkimbiaaaa!!!!!!!!! Khaaaaaaaaa! Sijaona! Unamnyima yeye anazidisha wema tu! Kila ijumaa yuko Dsm, full kula pesa yake weekend yote bila bila! Basi nikakata shauri nilipe fadhila!
Nikaenda mpaka Moro kwake, kilichoharibu hapo anapoishi kuna Msela wangu jirani kaolewa huko, nikapitia kwanza kumsabahi! Nikamwambia nimekuja kwa flani!!!!! Akaniambia hafai hafai hata kwa mbolea!!!!!!! Anafyeka vitoto vya chuo kwake bila huruma!!!!! Hapo kwake kila siku sura mpyaaaaaaaa! Chezeya halfcast wa kinyaturu na kinyamwezi weye?
Nilipigaje U turn kuwahi Abood la mwisho la saa mbili, msamvu paleee! Kiranga chote kwishaaaaa! Bado pesa zake nakula lakini kufidia risk ya HIV iliyonikosa! Na wala hajali, anajua iko siku!!!!! LOL!
hahahahahahh mamito sijaelewa swali!!!hebu liweke kwenye lugha nyepesi nielewe...au nimwite ticha Natalia anifafanulie...
haongelei benefit za kukopeshana pesa au sijui mahindi
hhahahhahahha bora usimwite hachelewi kusema mamangu ana nyumba ,mikocheni tulikuwa tunakula nini sijui manake si wamjua tena yule mama wa nusu kaputi!
swali linasema hivi ushawahi kummegea zombie,we si uanwajua mazombie yenu we na lara 1 basi sasa haijawahi kutokea siku umelipa tu ,halijakuomba wala nini umelipa tu na kesho mkwara pale pale!hamna cha kuitana baby wala nini na unaendelea vile vile kumtuma kwa bf ampelekee kadi ya ''i love yu honey!'' tena ikiwa wazi!
Kissing ina-count au only walio enda all the way?
I think zinahesabika as ungekua na uwezo wa kua face to face mngeenda all the way.Good question..
kissing na cyber-sex pia....lol....
je nazo zinahesabika?
mie hii haijawahi........ Natamani nipate experience za watu humu
Good question..
kissing na cyber-sex pia....lol....
je nazo zinahesabika?
kwa kweli sijawai kula hela ya mtu
imenikumbusha mbali kidogo! nilikuwa na friend wangu wakike, she was a gud friend of mine! xa kuna siku nilimtania kuwa i'm functionless (mashine yangu haisomi), kuanzia hapo urafik uliisha...nilishndwa kumwelewa! hadi namaliza chuo anaamini hvyo....
ahaaa nimekuelewa sasa mimi ninae rafiki yangu wa kiume ni my best friend till now yaani hata niwe na shida gani atanisaidia,nimesoma nae toka o level i really like him.. sasa one day tukatoka wkend moja akaja na msichana kiukweli niliumia ila nilielewa maana najua hatuwezi kuwa wapenzi maana namtreat kama ndugu yangu hope unaelewa ukishazoeana na mwanaume ni ngumu kuiconvert kuwa mapenzi.. basi siku kikapita one day tena tunatakiwa tutoke nikamwambia siwezi kuna mtu nipo nae aiseee toka siku ile naona mambo sio mazuri hadi sasa.. anataka kujua ni nani huyo yaani naona kama amenichukia kweli nikimuuliza tu kitu ananijibu yule mtu hajui and the like...hata sielewi but hajawai hata kunitongozaJamani hata pesa haihusiki hapo. Nikupe mfano, uko na friend wako (best), then at one point unakuwa down n he is there for you then mnajikuta mnaenda all the way. Au umesafiri na mfanyakazi mwenzio mkajikuta after dining n drink labda a movie au nini mkaendelea.
Mfano wa mwisho ndio ulionikuta mimi na mzazi mwenzangu; ofcourse nilikuwa namzimikia sikuweza kumwambia naye alinizimikia na kumwambia mtu mwingine so kwa upande wangu nilikuwa sort of informed. Mapenzi yalilast 4 years. Sasa kuna ambao kila mtu ana commitment na wanajua hawawezi au haifai kuwa pamoja so kwa nje ni friends lkn wanaenda zaidi wanapohitaji.