Jamani kwanini asiwe mshana jr???
Nyau huyo najua mpaka tutazikana aidha aanze yeye au mimi!!
Hahahahahaaaaa kwahiyo mshana jr ni play boy hatakawia kukubwaga
Hayo umesema wewe loool....wanaadamu hawatabiriki lakini najua huyo nyau hatoniangusha ever!!We could cuddle everyday with no restrictions nor boundaries ha ha ha tutoane upweke!!Na ndio maana wazungu wanapenda sana pets hasa mbwa au paka!!
Mi napenda paka, mbwa nawaogopa!we we we hebu jaribu kuchunguza vizuri hivyo vimbwa, huwa wanashughuli navyo vile, sio bure!
Mi napenda paka, mbwa nawaogopa!
Cute nyau, aje kwangu ntamuondoa upweke!
Stop taking life too serious utakufa kabla cku siku zako hebu furahi kidogo uongeze siku za kuishi!!Acha maigizo wewe..!