have u ever heard of mobile saloon in tanzania???

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
unajua siku izi nmekua nkiwaza waza kuhusu idea mpya za biashara, sa leo nmejiwa na wazo la mobile saloon. je hii kitu inaweza ikaitajika kwa watanzania wa sasa? and who wil u target "target customer"
 
Hii naona iko na mazonge kidogo, biashara ya Saloon/barber shop mara nyingi inajengwa na wateja ambao ni regular customers wanaovutiwa na aidha ufundi/utaalamu, usalama wa vitendea kazi na urahisi wa kufika kwenye saloon/shop sasa ukianza kuzunguka unaweza kuwakamata wale wa dharura/emergency lakini wengi wataogopa hio huduma na ukiangalia hasara za petroli/ generator na service nyengine za Van sidhani kama inalipa.
 
nadhani weka mobile "Massage" service hapo ukiweka inToun lazima utapata watu wenye uchovu kwa kukaa muda mwingi oficin ,ila lenga wateja wa kati,
pia kuna huduma ya kupamba wadada jioni,wakitoka ofisini,si unajua siku hzi unakuta wadada jioni wanarudi home,wako fresh nyusoni utadhani wanaondoka home asubuhi
 
Wateja wapo-kuna mtu alishafanya research ya Mobile Saloon.
Wagonjwa waliolazwa mahospitalini,Mashuleni na City centres nyakati za lunchtime na jioni wakati watu wanasubiri Daldala kurudi majumbani.
Fikiria mtu kalazwa Moi miezi mitano bila kunyoa nywele wala ndevu
 
unajua siku izi nmekua nkiwaza waza kuhusu idea mpya za biashara, sa leo nmejiwa na wazo la mobile saloon. je hii kitu inaweza ikaitajika kwa watanzania wa sasa? and who wil u target "target customer"

U R LATE... Watu wengi tu wanafanya.. inalipa!!!Fkiria mtu anaenda kunyoa familia nzima ya waziri nyumbani kwake...unadhani hapati hela?!
 
Sijui kama itaweza kufanya kazi inabidi ufanye case study kwanza vinginevyo itakula kwako
 
Ukiwa na Idea alafu ukaja kuomba idea za watu huku, ni sawa na maji masafi kwenye bilauri uweke tone moja la maji ya chooni utakunywa tena hayo maji? Opinion are the cheapest commodity in the world, take it from me.
 
Back
Top Bottom