have a dinner with me at ma palace

BAK zakupotea mkuu..

Nipenda hiyo meza yako lakini chakula hakina mchuzi dahh

Rubani mie niko poa kabisa namshukuru sana Muumba wetu. Mchuzi nimeusahau jikoni ngoja niulete πŸ™‚πŸ™‚ bado na mapochopocho mengi yanakuja....we kaa mkao wa kula tu πŸ™‚ lakini ujiangalie usivimbiwe lol! Nimefurahi kukuona πŸ™‚πŸ™‚
 
Captain
dahhh nawe kwa kujichimbia nakuamini ..
siku ya valentine ukatualika halafu we ukakimbia kimoja lohh.
Haya bana hopeful hutaniangusha tena.. sikujua we muoga hivyo..
bado ninakesi nawe.. hii siiachii hivi hivi tu..πŸ™
 
hahahahaha lol! nilivyoona kimya kuhusu case ya Valentine day nikajua nimesamehewa kumbe!!!! lol! Sawa Rubani nitajitahidi kulipia makosa yangu ya siku ile ili kuimaliza kesi hii bila kuwa na varangati la kufa mtu πŸ™‚πŸ™‚

Usema ukweli sijui utaanzia wapi kujieleza..
Vyovyote vile.. kurasa mbili kama ni PM..
otherwise jieleze vizuri kule kweingine
maana hutapenda niki nuna hahahah lol
 
Reactions: BAK
Usema ukweli sijui utaanzia wapi kujieleza..
Vyovyote vile.. kurasa mbili kama ni PM..
otherwise jieleze vizuri kule kweingine
maana hutapenda niki nuna hahahah lol

hahahahah lol! eti Rubani anataka kununa lol! Bahati nzuri kwangu na bahati mbaya kwako, Rubani hajui kununa lol! hivi mara ya mwisho ulinuna lini vileee!? πŸ™‚πŸ™‚ Nitajieleza tu nina sababu milioni kidogo πŸ™‚πŸ™‚ najua utanisamehe tu au nitaomba msaada wa Doto πŸ™‚πŸ™‚ ili nisamehewe.
 
hahahahahaah lol
captain we mchokozi
utaona tu we ngoja ni nune..

haya nasubiri hayo maelezo huko kwenye kona ..
halafu kuna taarifa fulani nono nataka nikuelezee..
lakini unatakiwa uniombe msamaha kwanza ..
na ninasubiri hizo sababu za ku potea bila maaelezo
siku takatifu ya wapendanao..
 
Reactions: BAK

Haya Rubani nitakuja na maelezo ya kutosha kabisa na nina hakika nitasamehewa. Kuhusu hiyo taarifa naisubiri kwa hamu kuu. Naandaa maelezo ya kuomba msamaha πŸ™‚ page kama sita hivi lol!.

Haya Rubani nitakuja na maelezo ya kutosha kabisa na nina hakika nitasamehewa. Kuhusu hiyo taarifa naisubiri kwa hamu kuu. Naandaa maelezo ya kuomba msamaha πŸ™‚ page kama sita hivi lol!.

hahahahah lol
Nimekusamehe nusu..
usjali kabisa taarifa iko hapa ukisha nipa maaelezo ya
uliko potelea... Nway naomba kamjibu MziziMkavu.. ananiogopa mimi..
 
Reactions: BAK
Hiyo meza mbona hakuna kitu? Karibuni sosi home kwangu. Mshindwe wenyewe tuu. . Niko na maiwaifu wangu hapo. Kulia kabisa kule ni Katavi. Tena muwahi tuna ubao hapa

Sasa this what I call msosi..........sio unatandaza sahani nzuri usije niwekea vipunje viwili ukanambaia eti ndo msosi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…