have a dinner with me at ma palace

Hahahahaha, saaaaafi! nyama choma, kachumbari na ugali!
EMT una mambo wewe! And who is maiwaifu wako?
Hiyo meza mbona hakuna kitu? Karibuni sosi home kwangu. Mshindwe wenyewe tuu. . Niko na maiwaifu wangu hapo. Kulia kabisa kule ni Katavi. Tena muwahi tuna ubao hapa

Hiyo meza mbona hakuna kitu? Karibuni sosi home kwangu. Mshindwe wenyewe tuu. . Niko na maiwaifu wangu hapo. Kulia kabisa kule ni Katavi. Tena muwahi tuna ubao hapa

hii sinia kama ina kitimoto na kachumbali, hii biashara ya kujazana mate sio nzuri eneo nilipo hata ndimu hakuna,
 
hii nimeipendaa iko poaa sana kwa date
Hiyo imekaa picnic si picnic, outdoor si outdoor, diner si diner... kama unataka kuchanga vyote hivyo basi do something like this:
 
Afro denzi kwanza nimekumiss sana. hujambo. ngoja nimwambie mpishi afanye fasta huko asije akasababisha dada yangu akafa njaa hapa
Hata mi nimeku miss sana Bro..
duuhhh yaani nimerudi naona umeniandalia meza ya hatari bila msosi duhh.
dahhhh huyo mpishi wako bora akarangize faster faster ..

Hujambo lakini??
 
Hata mi nimeku miss sana Bro..
duuhhh yaani nimerudi naona umeniandalia meza ya hatari bila msosi duhh.
dahhhh huyo mpishi wako bora akarangize faster faster ..

Hujambo lakini??

mi mzima wa afya. huyu mpishi naona analeta giza ngoja niingie mwenyewe jikoni. si unajua mimi ni moto wa kuotea mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…