Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
ma house girls ni changamoto kubwa. kuna mmoja huyo alikuwa mchawi kupindukia, usiku anatoweka anaenda kuzimu na kuwafundisha watoto uchawi. nyumbani kukawa hakukaliki maana toka siku alipofika kwenye hiyo nyumba amani ikatoweka, mume na mke ugomvi kila siku, watoto wakaanza kuumwa magonjwa yasiyoeleweka. baada ya maombi makali ndo ikajulikana chanzo ni yule dada. ni vizuri dada wa kazi umtoe kwenu na familia yake uwe unaijua vizuri
Sasa uchawi unaonekana kwenye Xray au urine sample?