galindas
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 978
- 1,306
Jamani! yaani hawa walezi wa watoto zetu ndio tunavyowaona hivi? Inakuwaje tunawaona kama mfugo wa machinjoni, kwamba hauchinjwi mpaka ukaguliwe? Sisi wenyewe tunajikagua mara ngapi? Daladala tunazopanda tunajua wangapi wana TB? je tukishuka tunajikagua?