CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #21
.....hapana Kaunga, binti msaidizi si kama mgeni wa kuja na kuondoka.
Huyu ni muajiriwa, lazima muajiri apate angalau medical history kidogo, mfano kama ana matatizo ya kifafa, kisukari nk...
Kwa maisha ya sasa, ni bora pawe na police report kabisa, fingerprints, dental records na home address just incase...
Hapo ndipo penye point yangu, huyu bebitatu ni mtu wa karibu sana na watoto wetu kuliko sisi wazazi. Atamlisha kwa mikono, atampapasa mara kwa mara hasa katika kumsafisha na kumpaka mafuta.
Asemavyo Ablessed hapo juu kiukweku ni ngumu practically ila twapaswa kuchukua tahadhari.....
Kuna bebitatu wengine huwa ni mwezi.mchanga, ikifika kipindi flani anatakiwa kumeza dawa, ili kuzuia hiyo hali sasa bila kujua historia yake unaweza kukuta ashamnyonga mwanao ohoooo!!!!!
Last edited by a moderator: