Hausigali ana masharti wajameni!!!

Hausigali ana masharti wajameni!!!

Jitambue kuwa wewe ni baba wa nyumba/kichwa cha nyumba, iweje kamtu katoke katokako kakupangie?utaratibu wa zamani uludi kama ilivyo kuwa.ss kakuulize unakunja ndita kama nyati dume senzi.
 
pole na ufanye maamuzi magumu hiyo ni kawaida ya wadada wa ndani wazoefu wa kazi wanajiamin kupita kiasi pole mpe chake atambae.
 
Yaani huyo kazi ndogo unamwongoa bila taharifa nenda ubungo kamkatie bus la BK morning mwamshe mwambie apange vitu vyake then mlipe haki yake mwite mtu wa tax ampeleke hadi kwenye basi kitu na box nyumba yako unataka kuikwepa kisa bekitatu khaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Acha kutetea ujinga hapa.
Nyumba ni yake na bado awekewe masharti!!!
Hili halikubaliki kabisa. House girl hana mamlaka ya kubadili mfumo wa maisha ya nyumbani kwake kwa amri.
Jamaa kasema;
1/Anapenda kula kitimoto nyumbani kwake na familia yake tena kikiwa kumeandaliwa na house girl wake.

2/Anapenda mbwa na anapenda watoto wake wafurahi kucheza na mbwa wake.

3/Anapenda kurudi nyumbani usiku sana na atataka house girl awajibike kumfungulia nyumba na kumpokea.

4/Jamaa hakubali mfumo wa ibada wa swala tano nyumbani kwake.

*Ni jukumu la House girl kukubali mfumo huo wa maisha ya huyo jamaa, na kama hawezi asepe zake.

unapo amua kuishi na mtu ambae mmetofautiana imani lazima uheshimu imani yake huyo dada anatakiwa aondoke hapo haraka kwani vitu anavyo lazimiswa ni haram kwake na asikubaliani navyo kabisa kwani ni maisha ya dunia akhela ataulizwa swala la kupokewa saa tano usiku sio kazi yake bari ni kazi ya mkewe kipindi hicho anakua amesha lala akiamka kivingine inaweza kumletea mgogoro kati yake na mkewe tafuta mwenye imani kama wewe mtoto wa watu usimuingize kwenye mambo ya kikafili
 
huo ni upuuzi,hata ukuhitaji kutafuta ushauri kwa jambo hilo,unatudhalilisha wanaume,
 
Acha habari yako wewe! We sema tu kama ushakula uroda basi,kweli baba mwenye nyumba unashindwa kumtimua housegirl?.......................a! Basi bwana mi simo. Masharti unaweka wewe au anaweka huyo tx
 
Wacha mchezo aisee. Kashafika Muleba sasa...hiyo ni hadithi ya zamani. Ila sasa imebidi mama aache kazi maana hatuwezi acha watoto kwa jirani. Mashauri yote mliyotoa yamenifurahisha sana, sasa nyie mnaocheka utakuta mna tx mkurya. Tutakutana hapa hapa kwenye forum..hahahaaaa.....mke kadundwa na sufuria ya moto....
 
Wajameni nimepatikana kwa pesa mbili. Baada ya kuhangaika kutafuta msichana wa ndani mke wangu aliomba msaada na tukaletewa toka ukweni - kabila sitaji ila la wajeuri. Msichana hard working lakini masharti kibao. No kitimoto ndani ya nyumba, marufuku mbwa kumnusa, so hao nawalishe mwenyewe, pia marufuku kupishana nao, so mpaka wakishafungwa hatoki nje. No disrespect kwa imani za kidini, but msichana swala zote tano na mbaya zaidi, nikichelewa kurudi home - say 1130pm, yeye wala bosi wake (wife) hawashughuliki. Kumtimua gharama za kumsafirisha, offence kwa mke na mama yake. Kumwacha bughudha - sina imani naye especially na watoto - my kids love dogs. Shida sasa, nyumbani panaanza kuwa jela - natamani nirudi late kila siku kuepuka maudhi. Wajameneni - tuseme hayo ni makubwa ya kujitakia. Naombeni ushauri kabla ya kumtimua. Baadaye ntatoa ushauri kwa wazazi wenzangu - kutoka wapi usithubutu kuletewa msichanana wa kazi. Nawasilisha.
Hapo kwenye red, wabongo acheni kuiga!
 
Kaka sijaona kibaya alichofanya huyo binti. Unajua kila mtu ana maisha yake. Kama kasema hataki mbwa na paka wamguse lazima umsikilize hata kama ni housegirl. Kwa dini yake mbwa, paka, kitimoto siyo ruksa. Kibaya kwake ni kuwa mkweli kwenu kwa yale asiyopenda?

Hakufai, mazingira ya kazi hayamtendei haki. Mpe haki yake umrudishe nyumbani kwa heshima.
 
Wajameni nimepatikana kwa pesa mbili. Baada ya kuhangaika kutafuta msichana wa ndani mke wangu aliomba msaada na tukaletewa toka ukweni - kabila sitaji ila la wajeuri. Msichana hard working lakini masharti kibao. No kitimoto ndani ya nyumba, marufuku mbwa kumnusa, so hao nawalishe mwenyewe, pia marufuku kupishana nao, so mpaka wakishafungwa hatoki nje. No disrespect kwa imani za kidini, but msichana swala zote tano na mbaya zaidi, nikichelewa kurudi home - say 1130pm, yeye wala bosi wake (wife) hawashughuliki. Kumtimua gharama za kumsafirisha, offence kwa mke na mama yake. Kumwacha bughudha - sina imani naye especially na watoto - my kids love dogs. Shida sasa, nyumbani panaanza kuwa jela - natamani nirudi late kila siku kuepuka maudhi. Wajameneni - tuseme hayo ni makubwa ya kujitakia. Naombeni ushauri kabla ya kumtimua. Baadaye ntatoa ushauri kwa wazazi wenzangu - kutoka wapi usithubutu kuletewa msichanana wa kazi. Nawasilisha.

tatizo umeshamtongoza au kumtia kabisa...ujasiri wa kumtimua huna maana ameshakuwa bi mdogo.
 
Kama huna uhusiano zaidi ya kuwa boss wake mkatie ticket yake.

Nyumba ysko wewe ndo unaweka masharti sio yeye, kitu chenginl weka wazi masharti kabla ya kuwekeana mkataba wa kazi.
 
Ni vema kuweka wazi mazingira ya nyumbani kwako na aina ya huduma zitakazomuhusu ili aweze kufanya tathmini ikiwa mazingira ni rafiki kwake au la kabla ya kumsafirisha kumleta nyumbani kwako. Inawezekana hakuelezwa ama alielezwa sivyo ndivyo. House girl si wa kukupangia mwenye nyumba namna ya kuishi lakini pia mwenye nyumba huna haki ya kumlazimisha HG kufanya lenye kupingana na imani yake hata kidogo. Tulikuwa na HG mkristo na kila juma pili alipokewa kazi zote zinazomuhusu kuanzia asubuhi mpaka pale atakaporudi kutoka kanisani . Ni dhahiri hata yeye (HG wako) anajuta kuwepo katika mazingira hayo. Amefanya vizuri kuwa muwazi. Ikiwa mtindo wa maisha yake (masharti yanayogusa imani) ni magumu kwako mrudishe kwao bila kujali gharama ya nauli kwani mazingira ya nyumbani kwako pia ni magumu kwake. Then tafuta aliye compatible na hayo uyapendayo i.e. anayependa mbwa kama watoto wako,nguruwe na wakuku-care kila urudipo saa tano usiku.
 
Hivi huyo hause girl angekua anakula Mbwa wewe ungemruhusu apike humo ndani? Hapa mi naona ulitaka kutuonesha kua una house girl na Mbwa tu, mengine yote ni porojo tu. Kila mtu anaimani yake ndio maana hata kuna wakristu wengine hawataki Kitimoto au Mbwa. Kumuajiri mtu kwa huo mshahara wa 50,000 kwa mwezi sio sababu ya kutothamini imani yake. Bila shaka ujalazimishwa iwe lazima uajiri huyo HG tu, hivyo sio lazima uwe naye wakati imani yake inakunyima wewe uhuru na imani yako inamnyima uhuru itakua si haki.
 
Uwiiiiii Mchumba wangu ni Mrangi! Mbona wastaarabu sana lakini? Usinfanye nimwache

utajiju and you will keri yuaself kagawa kidude mtaa mzima na kwa ndugu zako pia.
Poor you babu jinga
 
Hapo kwenye red, wabongo acheni kuiga!
umenena mkuu eti my kids love dogs,kwa hiyo dogs wa maana kuliko huyo dada anayelea watoto wake.wazungu lazima wapende mbwa kwa kuwa hawana undugu,waafrika ni extended family hivyo watoto watawapenda ndugu sio dogs
 
Back
Top Bottom