abousalimu
Member
- Apr 3, 2012
- 62
- 19
fanya utafiti amu!
Unawaonea wivu tu amu jamani, naomba useme unatania la sivyo naona roho inaniambia nimwacheutajiju and you will keri yuaself kagawa kidude mtaa mzima na kwa ndugu zako pia.
Poor you babu jinga
Unawaonea wivu tu amu jamani, naomba useme unatania la sivyo naona roho inaniambia nimwache
utafiti wa nini nawewe nawe?fanya utafiti amu!
unapo amua kuishi na mtu ambae mmetofautiana imani lazima uheshimu imani yake huyo dada anatakiwa aondoke hapo haraka kwani vitu anavyo lazimiswa ni haram kwake na asikubaliani navyo kabisa kwani ni maisha ya dunia akhela ataulizwa swala la kupokewa saa tano usiku sio kazi yake bari ni kazi ya mkewe kipindi hicho anakua amesha lala akiamka kivingine inaweza kumletea mgogoro kati yake na mkewe tafuta mwenye imani kama wewe mtoto wa watu usimuingize kwenye mambo ya kikafili
Wajameni nimepatikana kwa pesa mbili. Baada ya kuhangaika kutafuta msichana wa ndani mke wangu aliomba msaada na tukaletewa toka ukweni - kabila sitaji ila la wajeuri. Msichana hard working lakini masharti kibao. No kitimoto ndani ya nyumba, marufuku mbwa kumnusa, so hao nawalishe mwenyewe, pia marufuku kupishana nao, so mpaka wakishafungwa hatoki nje. No disrespect kwa imani za kidini, but msichana swala zote tano na mbaya zaidi, nikichelewa kurudi home - say 1130pm, yeye wala bosi wake (wife) hawashughuliki. Kumtimua gharama za kumsafirisha, offence kwa mke na mama yake. Kumwacha bughudha - sina imani naye especially na watoto - my kids love dogs. Shida sasa, nyumbani panaanza kuwa jela - natamani nirudi late kila siku kuepuka maudhi. Wajameneni - tuseme hayo ni makubwa ya kujitakia. Naombeni ushauri kabla ya kumtimua. Baadaye ntatoa ushauri kwa wazazi wenzangu - kutoka wapi usithubutu kuletewa msichanana wa kazi. Nawasilisha.
Je wewe ni he au she amu? Nahitaji ushauri mwanana maana karibu nachanganyikiwautafiti wa nini nawewe nawe? nimekaa nao watano na ni wakaribu sana wachaaaaaaafu balaa
Je wewe ni he au she amu? Nahitaji ushauri mwanana maana karibu nachanganyikiwa