Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
hata mimi sijawai kusikia...hajui buguruni nini?Mmmh...kabila hili housigelo!!??acha utani bana...
hata mimi sijawai kusikia...hajui buguruni nini?Mmmh...kabila hili housigelo!!??acha utani bana...
Acha kutetea ujinga hapa.Kama hana matatizo kwa mkeo na watoto wanapata malezi hana shida. Kuhusu mbwa na watoto, binafsi siafiki watoto kuzoena na mbwa hasa kutokana na aina ya mbwa na malezi yake ya kibongobongo.......Ushauri wangu usitumie mazingira ya nje kumhukumu huyu HG kwani nae anatafuta riziki ya kupambana na ugumu wa maisha. Hili la Kitifire nalo halina mshiko kwani ukiwa na midadi unaweza kwenda kujipatia kwenye centers fulani fulani. Note that ni kazi ngumu kupata perfect HG, huyu anaweza kuwa afadhali kwa ajaye.
Note "Mjinga akierevuka ........ yupo mashakani" umeniambia natetea ujinga atieeeeeeeeeeeeeAcha kutetea ujinga hapa.
Nyumba ni yake na bado awekewe masharti!!!
Hili halikubaliki kabisa. House girl hana mamlaka ya kubadili mfumo wa maisha ya nyumbani kwake kwa amri.
Jamaa kasema;
1/Anapenda kula kitimoto nyumbani kwake na familia yake tena kikiwa kumeandaliwa na house girl wake.
2/Anapenda mbwa na anapenda watoto wake wafurahi kucheza na mbwa wake.
3/Anapenda kurudi nyumbani usiku sana na atataka house girl awajibike kumfungulia nyumba na kumpokea.
4/Jamaa hakubali mfumo wa ibada wa swala tano nyumbani kwake.
*Ni jukumu la House girl kukubali mfumo huo wa maisha ya huyo jamaa, na kama hawezi asepe zake.
tena muondoshe na mkongoto wa nguvu...nyambafuuu...aiseee kuna wasichana pasua kichwa
yaani ningempa ngumi za kutosha...Nimeipenda hii, nilikuwa sijacheka leo, ahsante smile kwa kunichekesha
Haswaaaa, hapo hapo Singida type, wanakerajee!!! Pia kuna ushirikina ndani yao, usipokuwa makini ataivuruga nyumba na familia yako nzima.
Nilikaa nae wiki moja masharti yakanishinda, nikatimua.
hapana lazima atakua mhaya
ukiona mtu kabanwa na housegirl ujue kaishagegeda.Huyu jamaa anatu enjoy.tangu lini mfanyakazi awe na amri kwa bosi wake.