Hausegirl katushika pabaya

Pamoja na yote kitendo ulichomfanyia rafiki yako sio kizuri, tena kama unavyodai rafiki yako wa karibu
 
Una moyo wewe kaka, Yani umemla Mke wa Mwenzio week nzima hujashiba Sasa Umekua hata Aibu wala adabu yaku chukua hotel huna unakwenda kulala nae ndani ya nyumba Yake, ivi mumewe angekukutaa unafanyaje?
 

Ukitulia napata maana alisi ya jina lako(Kula Tano)Na kama mleta mada ajakuelewa huo utakuwa uvivu wake..
 

Na akimtokea akamnyima itajuwaje? Hujatoa plan B. Big up anyway Sister!
 


Hahahaha...mpwa ninecheka sana!
 
Reactions: BAK
Naona kuna mwanaume anakaribia kupoteza heshima ya makalio yake...

Siku ya kwanza tufanye ilikuwa ni ulevi, vipi hizo siku nyingine?
 
Na akimtokea akamnyima itajuwaje? Hujatoa plan B. Big up anyway Sister!

Akizidiwa akili na beki tatu aibu nitaona mie. Yaani awe na swaga za kumteka make Wa MTU ashindwe kumteka kuku Wa kuchora? Itakuwa maajabu ya dunia.
 
Tena mimi wa kwangu nikipitisha wiki tunalala kitanda kimoja sijapiga mashine walahi analiwa kilaiiiiniii. Na alivo gangwe yule anaweza hata kunionyeshea.


Hahaha mkuu angalau wako unamjua hivyo ni lazima utimize jukumu lako kunako faragha. Otherwise hakika unagongewa.
Kinachouma ni wale wanaopatwa na maradhi kama hicho kisukari, kula unataka lakini hata kwa jeki haisimami....daaaaaaah! Mengine tuombe yapite mbali....!
 
Hofu yako tu huyo rafiki anatamani sana akwambie umsaidie ila domo zege
 
Ulianza kusimulia vizuri sana, ikaanza kuaminika, kuna sehemu ndogo sana umeharibu na kufanya simulizi nzima kuonekana ni uongo wa kutunga.
 
Hakuna haja ya kumpa mtaji hsegal, fukuza, akiamua kusema mtajua namna ya kujitetea. Takataka kama hsegal atawasumbuaje vichwa kiasi hicho. Mnaweza kumpa mtaji, baada ya muda akarudi tena kutaka nyingine kwa madai msipompa atasema.
 
Hapo ndio ninapopendea mambo ya kiafrika afrika. Unamloga anakuwa bonge la ---- . Anaona nyumba chungu siku mbili anatembea mwenyewe.

Mghosi
 
 
Ulipokuwa ukimla mkewe hukuuona huo undugu? Huwezi jua...labda ungeoffer kumsaidia kiume angekuruhusu...

Mwambie tu ukweli halafu muangalie mustakabali unakuwaje
 
Ni kitu cha kutisha. Tuache bia na mavyakula ya wanga tuzingatie mazoezi na kula kwa kiasi. Dah yani kitu yako inaliwa kiulaini, kidume inabidi ujipe moyo tu kua angalau tunalea watoto. Heheh aisee!
 
Hakuna haja ya kumpa mtaji hsegal, fukuza, akiamua kusema mtajua namna ya kujitetea. Takataka kama hsegal atawasumbuaje vichwa kiasi hicho. Mnaweza kumpa mtaji, baada ya muda akarudi tena kutaka nyingine kwa madai msipompa atasema.

Hili wazo lako ndio shemeji amelisimamia sana ila litaleta shida kwa pande zote na litafika kwa mke wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…