martins paul
Member
- Apr 17, 2015
- 22
- 12
Wakuu hamjambo,
Nina rafiki tulieshibana kwa muda mrefu sasa, huyu jamaa yupo very successful in life, amejijenga, ana nyumba zaidi ya nne hapa mjini, na miradi chungu nzima
Huyu jamaa amekua na mgogoro mkubwa sana na mkewe kwa muda mrefu sasa tatizo lao kubwa ni kwamba jamaa ana kisukari kikali sana cha kurithi type 1 ambacho kimepelekea kushindwa kabisa tendo la ndoa.
Mwanamke hakuwahi kutoka nje amekua mvumilivu huku akitumia njia za asili kama kujichua na midoli.Haya yote nimeyafahamu kwa kuwa Mimi ndio msiri wao na msuluhishi mkuu wa mgogoro wao.
Mwaka Jana mwanzoni mwanamke alisafiri kikazi mkoani arusha, accidentally nami nilikua huko kwa shughuli za biashara, akaniomba tuonane kwa mazungumzo, nikamfuata hoteli aliyofikia tukaongea mambo mengi kuhusu matatizo yao.
Tukaagana saa mbili usiku wakati naondoka akaniuliza naelekea wapi nikamwambia naenda kupumzika then naenda bendi usiku akasema kwa nn tusiende wote? Nikasema poa.
Usiku tukawa bendi tunaserebuka hadi saa tisa usiku, tukakodi tax ili ianze kumshusha yeye then mimi
cha kushangaza tukiwa njiani siti ya nyuma akanivutia kwake tukaanza kupeana denda katika hali ya ulevi
Taxi ilipofika hotelini kwake akaniambia tushuke twende wote.
Nami nikiwa nimewaka tamaa na uchu wa ngono nikajikuta namfuata hadi chumbani, kufika ndani alionekana na uchu Wa ajabu ambapo aliniparamia na kuanza kunivua nguo kama wale watu wa mieleka.
Asubuhi ilikua ni Jumamosi akaniambia nisishangae kwa yaliyotokea maana yeye ameshindwa kuvumilia umepita mwaka tangu mumewe asimamishe mara ya mwisho na kuwa amejichua amechoka.
Wiki nzima hiyo tulilala pamoja hadi tunarudi Dar, tumeendelea kufanya kwa siri kubwa hadi majuzi nilipoenda kwake asubui ya saa tano, kwanza nilimpigia simu jamaa akaniambia naenda kazini hadi mchana ndio tuonane mjini,
Mwanamke akaniambia niende ana hali mbaya, akamtuma sehemu Housegirl akamwambia hadi ampigie simu ndo arudi.Alipoondoka housegirl nami nikaingia, ambapo alinidaka palepale sebuleni na kusaula na tukaendelea hapo hapo.
Tukiwa katikati kama tulivyozaliwa housegirl akaingia na kutufuma red handed in action kumbe alisahau simu aliyoambiwa aibebe aibu iliyotushika haisemekani.
Akachukua simu akaondoka zake aliporudi shemeji akamweka chini akamwambia asithubutu kumwambia mtu alichokiona akamtisha atamfukuza.
Cha kushangaza binti alikua na ujasiri wa ajabu na kumjibu shemeji kuwa yeye hajali kufukuzwa ila ni lazima aseme la sivyo tumpe million moja ya mtaji akaanze biashara, ndipo atuache huru na ataondoka pale home kinyume na hapo anasema.
Ametoa wiki hivi sasa yeye ndio kageuka bosi ndani, anaagiza aletewe kila kitu huku kakaa na remote sebuleni
Shemeji kasha panic anasema yeye hawezi kumpa kikojozi kama yule million na kwanza anasema ameshachoka na ndoa yenyewe na anataka mtoto kwamba anaelekea 35 hajazaa kutokana na kumvumilia jamaa so bora aondoke tuwe huru.
Nipo njia panda wakuu huyu jamaa ni kama ndugu kwa sasa na sitaki kuharibu uhusiano wangu na yeye ameshanisahidia sana huko nyuma
Nifanye nini? Au nimpe tu hiyo hela housegirl