cinderelalove
Senior Member
- Feb 23, 2013
- 189
- 39
naishi dar jaman wana JF natafuta msichana wa kunisaidia kazi za nyumban maana nipo busy sana na hakuna wa kubaki nyumban sona mtoto mchanga kabisa...plz nahitaji bint mtulivu na msikivu,kutoka vijijini au alieko hapa mjini lakini anateseka huko aliko nitampokea.asanten.alie tayar kunisaidia ani pm nimpe mawasiliano