Hauna ajira kama mimi? Twende Iceland, ukioa mwanamke unalipwa 10 mil kila mwezi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Kutokana na uhaba wa wanaume, Iceland huwalipa USD 5,000 (TZS 10,934,250) kwa mwezi mwanaume mhamiajia atakayemuoa mwanamke wa Iceland.

Taifa hilo limefikia uamuzi huo kutokana na idadi ndogo ya raia walipo katika nchi hiyo. Hivyo kama mwanaume atakubali kuoa mwanamke wa Iceland basi atalipwa kiasi cha dola 5,000 kwa mwezi kama shukrani kwa kitendo cha kuongeza watu nchini humo.

Watu wanaopewa kipaumbele katika hili ni wanaume kutoka Afrika mashariki
 
Wanaume WA DAR fursa hiyoooo, PIA msisahau kumshtua yule mfalme Wa mariooziii
 
5%2Bwww.gistdrop.com-.jpg
 
Back
Top Bottom