Wakuu,
Natafuta kampuni inayojihusisha na usafirishaji/upakiaji/upakuaji na utunzaji wa mizigo katika store yao kabla mizigo haijachukuliwa na wahusika hapa jijini Dar ambayo ina ofisi maeneo ya Chan'gombe, Kurasini au karibu na hapo.
Mzigo wangu upo in form of liquid - mafuta ya kula, utakuwa unatoka mkoani kuja Dar. Kampuni lazima iwe inaaminika na sio genge la wahuni, na pia nataka mzigo wangu uweze kutunzwa kwa usafi wa hali ya juu. Ni hayo tu.