Haujajiweka tayari kuwa baba lakini unataka mtoto?

Mwenyewe nashangaa huo msemo wao,eti simwamini mwanamke yoyote labda mama yangu... Sasa utaishije na mtu usiemuamini? Hiyo itakua ndoa ama ndoano?

Nadhani amesema "simuamini mwanamke asilimia mia"dont change the topic
 
hahahhhahah lool ungejua hata usinge sema all in all wanaume nao ndo wanapelekea wanawake wengi kufanya yasio maana mim nina rafiki angu alibeba mimba kumwambia mwanaume akimwambie umeitoa wapi wakati ni wachumba na engegment kamfanyia lakin kitu kilicho fanyika yule mwanamke alicho kifanya amamua kutenda dhambi ya kuitoa ile mimba na wa meachan soo kosa lipo kwanan ila wanaume wahajielewi somtmez

So kutoka kwa huyo rafiki yako ukageneralize that wanaume wote wako hvyo?
Wht if she lied to u?tatizo wanawake mnakopi sana no offence
So maisha ya huyo rafiki yako yamereflect nn mwanaume wako atakua/atakutreat?y don't u blv on uaself n do smthng different??
 
Kabla ya yote naombeni samahani kwa wanaume wa humu ndani ila kiukweli kuna wanaume wengine hawajielewi mtu kama unampenda i mean mnapendana wote akaona kabisa unakuheshimu,unakujali,unakuthamini kama mpenzi wake lakini inatokea siku anakwambia simuamini mwanamke asilimia mia.

Sasa huyu mwanamke si unampelekea awe na mchepuko kwa maana haumwamini anaamua kwanini aendelee kuwa na mtu hamuamini si bora ni dudu ili ijulikani moja au? Naomba niwaulize ni kwanini unakuwa hauna imani na mwenzako kama haujawahi kumkuta na sms yoyote mbaya.

Haujawahi kumkuta na mwanaume yeyote lakini unakuwa unaosheshea haumwamini hahahahah! Haya ndo mapenzi ya kidigital kweli ila naomba msilaumu wanawake wakati wewe mwenywe ndo sababu ya mwanamke kubadilika.

Be the attitude you want to be around

So mtu/mpenzio/mumeo asipokuamini tu ndo ucheat??duuu inaonesha kiasi gani hujitambui
 
Kwa jinsi ulivyoandika tangu title hadi ujumbe wenyewe hata ingekuwa mimi nisingekuamini. Labda na tena labda usiwe na cheti chochote cha elimu.
 
Kwa jinsi ulivyoandika tangu title hadi ujumbe wenyewe hata ingekuwa mimi nisingekuamini. Labda na tena labda usiwe na cheti chochote cha elimu.

hahahahahah nisamehe bure mmi nimelipata kwa rafik angiu kaniambia hiki kitu ndo maan hata kuandika nilikuwa natwtwmeka kwa kitu alichokuwa kaambiwa wanaume wa leo galabagau asilimia kubwa among of them
 
Nilikuwa naakiri zakuwamini hawa ndugu zangu yaliyonikuta yamenifanya nisimwamini mwanamke yeyote atakekuwa mke wangu, au mpenzi wangu
 
Uwasilishaji na uandishi wako koboko.

Kazana kusoma tuition utafeli form four. JF ipo tu.ukimaliza shule utaikuta.
 
Back
Top Bottom