Chama cha upinzani hapa Tanzania ni Chadema tu,hiyo ACT ilikuwa inasemwa ni ya Kikwete na Membe. Chadema ishavituhumu vyama vyote hivyo kuwa vinatumika tu na serikali kwahiyo utaona Chadema tu ndio yenyewe inajiona ni upinzani halisi.Vyama ni Chadema na ACT wengine ni mapandikizi ya CCM
Ndio ujue huko mtaani kuna watu hawamuelewi huyo Magufuli wala Lissu,na usikute wamepiga kura zao huko kwa kuona ni bora kupeleka kura zao huko kuliko kuwapa hao wawili yani Lissu na Magu.Halafu kuna raia wanapiga kura kwa Chauma,Sau,Tadea najiuliza ina maana hawaoni picha halisi ya siasa za Tanzania kwamba ni Chadema dhidi ya C CM? kwanini wanapoteza kura zao
Hao raia ndio wanaochangia nchi kupata viongozi wabovu, Tume nayo uchaguzi ukimalizika wanajifungia ofisini tu, Wakati wangetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa raia kuhusu umuhimu wa kuchagua viongozi na kuhakikisha kura zao hazipotei, Lakini utawasikia tu wakati wa uchaguzi utafikiri ni watu wapya kumbe ni wale wale wa kila awamuNdio ujue huko mtaani kuna watu hawamuelewi huyo Magufuli wala Lissu,na usikute wamekapiga kura zao huko kwa kuona ni bora kupeleka kura zao huko kuliko kuwapa hao wawili yani Lissu na Magu.
Walaumu chadema hao hao, kujifanya wababe! Walimfukuza zito akaanzisha act, 2015 ukawa ikawabeba wakajiona vidume, ruzuku wakala peke yao wakawasahau cuf, nccr na nld! Waache ubinafsi kwanza na kugeuza chama Sacco's! RIP chacha wangwe!Ukifatilia kwa ukaribu vyama karibu tisa au kumi kati ya 15 vilivyotoa uwakilishi katika uchaguzi huu utagundua havikuwa na itikadi na muelekeo na nia thabiti ya kuongoza nchi, matokeo yake uchaguzi unaisha wote wanakuwa hawana tofauti na kina Waziri Jenister na kina waziri Kabudi wamekua wadogo mbele ya mshindani wao, wameonyesha udhaifu mkubwa sana, hata ukuu wa wilaya hawastahili.
Wengine wanaomba kazi hadharani kabisa, oooh mm bado kijana niko tayati kutumika, mpka unajiuliza au waliingia kwenye kinyang'anyiro ili wapate platform ya kuomba kazi kwa mh rais au vipi.
Hatujaona chama kikubwa kama Republican au Democratic baada ya uchaguzi wananyenyekea hivi kwa aliyeshinda, watu huwa wanatulia wanajipanga wanarudi tena kwa wananchi.
Uchanga wa vyama vyenu isiwe sabab ya kuua au kudhoofisha UPINZANI WA KWELI.
Kwahiyo huo uhalisia wa upinzani wao ni kuchukiwa tu na Magufuli na Polepole?Mpinzani halisi ni yule anaye chukiwa na Magufuli na Polepole sana. Bila ya kumtaja jina, unamjua.
Na ndio maana kila mtu akawa na haki ya kuchagua kiongozi aonae yeye kuwa ndio anafaa,sasa wengi tunakosea kwa kudhani kuwa viongozi wazuri ni kutoka katika vyama vikubwa tu yani Ccm na Chadema tu basi.Hao raia ndio wanaochangia nchi kupata viongozi wabovu, Tume nayo uchaguzi ukimalizika wanajifungia ofisini tu, Wakati wangetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa raia kuhusu umuhimu wa kuchagua viongozi na kuhakikisha kura zao hazipotei, Lakini utawasikia tu wakati wa uchaguzi utafikiri ni watu wapya kumbe ni wale wale wa kila awamu
Ushakuwa mkali mzee naona hutaki watu kuhoji unachoamini ni sahihi.Ngoja niumalize huu ubishi wa kupotezeana muda. Wapinzani halisi ni Shibuda, Mrema na Cheyo.
Mkuu unazungumzia tume ganiHao raia ndio wanaochangia nchi kupata viongozi wabovu, Tume nayo uchaguzi ukimalizika wanajifungia ofisini tu, Wakati wangetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa raia kuhusu umuhimu wa kuchagua viongozi na kuhakikisha kura zao hazipotei, Lakini utawasikia tu wakati wa uchaguzi utafikiri ni watu wapya kumbe ni wale wale wa kila awamu
tanzania tume ya zinahusiana mambo ya uchaguzi zipo ngapi ?Mkuu unazungumzia tume gani
Hivyo vyama utiriri ni mapandikizi ya CCM