Hatuwezi kuwa na umeme wa uhakika bila Dowans!!!

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Quote "Ni vyema kabla ya kuanza kushabikia au kufurahia huruma hii ya Dowans tukajiuliza ni kwa nini imekuja hivi sasa? Kwanini baadhi ya viongozi hasa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini January Makamba wapo mbele kuaminisha umma kuwa hatuwezi kuwa na umeme wa ukakika bila Dowans" end quote - Salehe Mohamed Tanzania Daima. Feb 27 2011
 
Kwa sababu huyu naye ametiwa mifukoni na fisadi Mkuu Tanzania Rostam Aziz. Kama ni kweli anaitakia mema nchi yetu basi pendekezo lake lingekuwa ni kununua mitambo mipya itakayowezesha kuondoa kabisa au kupunguza kwa kiwango kikubwa adha kubwa ilitokuwepo ya mgao wa umeme. Hili linawezekana kabisa ikiwa matumizi makubwa yanayofanywa yasiyo na tija kwa nchi ndani ya Serikali na pia mishahara na marupurupu kupunguzwa ili kusaidia kununua mitambo hiyo mipya.
 
Back
Top Bottom