NtakuwaSikuchukui
Member
- Feb 9, 2012
- 26
- 11
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
Ndio anamalizia miaka yake kumimtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
Drama queen huyo...I think you are saying this just to provoke members on the frum. otherwise i fail to understand what is the motive behind your statement!
Upo serious au unatania...unaweza ukawa unatania. Kama ni mvua uongozi wa huyu ni Sunami na ni janga la taifa. Madhara yote yananaonekana...sihitaji kuorodhesha.Huyu hata kuwa mwenyekiti wa mtaa hakufaa...mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
We mtoto acha akili finyu