hatutaki umeme wa DOWANS, bora tukae na giza

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
Ndio, nasikia eti JM kasema anashauri tukodishe mitambo ya DOWANS hata kwa miezi mitatu ili tuepukane na tatizo la umeme.

Hakyanani nasema, Egypt inakuja bongo. Nyie subirini tu. Hawawezi kutufanya sisi wajinga kiasi hichi.
 
Pamoja na umsikini wetu wa kulazimishwa, kutumia kitu chochote umeme wa Dowans ni KUBARIKI UFISADI. Kama serikali haiwezi kwenda kujiagizia mtambo mpya bila UDALALI basi bora watumia umeme tukalipe mara 6 ya thamani ya bili zetu za mara ya mwisho ili mtambo mpya ununuliwe lakini si KULAMBA HAYO MATAPISHI YA ROSTAM NA LOWASSA.
 
usihof mkuu hta hapa nchini kuna waarabu watusaidie mana sisis tushakua kichwa cha mwendawazimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom