Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Tulalamike nini sasa,si watu tunaowajua wamefanya hivyo na wasio na ndoa,sasa mtu kaoa na anasema,mi wa nini????
Si kila mtu anakuwa na mtu kwasababu ya magari,thats so low!..................!!! wala wengine hatujakutana nao in person,sasa hizo Rav4 wananunulia avatar??? Just thinking aloud!!!!
kesi yangu n ww hatuwezi kuongelea hapa mbele za watu na kuwapa faida watu wengine kwa kukiri upungufu wetu,mm na ww tutaongea nyumbani chumbani baada ya kumaliza kula tam ukishushia na jani na nyagi bariiiiidi{asiyejua maana haambiwi maana}Tutaendelea kutongozana tu maana tusipotongozana kuwa kina pita huku nikupige na maganda ya yai na majani ya chungwa!:A S 39::A S 39::A S 39:
Trustme - Siku hiyo mbona wewe ndiye uliyenianza bana? Halafu ukaninunulia na mzinga wa Jack D? Sasa unakuja kunianika hapa JF?
Wewe Mama Mubaya .. Tena Mubaya Sana - Trust ME!
samaki wa Musomaa bana tofauti na wa Mwanza.... balaa tupuWanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
kesi yangu n ww hatuwezi kuongelea hapa mbele za watu na kuwapa faida watu wengine kwa kukiri upungufu wetu,mm na ww tutaongea nyumbani chumbani baada ya kumaliza kula tam ukishushia na jani na nyagi bariiiiidi{asiyejua maana haambiwi maana}Tutaendelea kutongozana tu maana tusipotongozana kuwa kina pita huku nikupige na maganda ya yai na majani ya chungwa!:A S 39::A S 39::A S 39:
Jamani mie nina mkosi gani? Cjawahi tongozwa hata na mmoja mwe! Ni2pie mimi huyo akusumbuae angalau na mi nijione mwanamke lol
mmh subiria tu
akna shetan one na blue balaa wakiamka uko
watachamba kuanzia ukucha
na hichi ndio kifanyikacho so akili ku mkichwa mdada. Ila wengine 2na mkosi mbona ha2pati psi psi jamani?
Umeamka nenda CR kwa babu unatafutwa
na hichi ndio kifanyikacho so akili ku mkichwa mdada. Ila wengine 2na mkosi mbona ha2pati psi psi jamani?
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
Sema pearl....nina apetite ya kukutongoza....:fish2:
Mambo switihati nimekumisi sio kipolepole jana usiku sijatia timu hapa ilikuwa siku ya pool/laga hope yo ok mi mzima.Usije nianzishia thread eti nakufataki lol!duuuhhh haya tena
naona leo zamu ya kina baba ..
nasubiria kesho nione zamu ya naniii??
Unajua nilivyoiona avatar yako nikajua kwamba ndivyo ulivyo, kwahiyo nilivyokupenda kupitia avatar yako sikukosea kwakuwa naamini hiyo avatar hukuichagua kimakosa, itakuwa inashabihiana na ukweli wa sura yako. Na mimi bahati nzuri ninapendaga wanawake wa aina yako usinichukie bure, nilijikuta tu nimekupendaga. Hapa jf tunapenda kwanza avatar halafu kazi ndo inaanza, tukionana live mchezo unaisha:smile-big:
Back to the point, ni haki yake bi shosti kulalamika kama kuna mtu ana msumbua kupitia mgongo wa jf lakini ukilitazama suala hili kwa upande wa pili inabidi ujihoji kwa kina ni kwa nini shosti afikie uamuzi wa kumuanzishia sredi? huenda kuna mambo mengi watakuwa wamezungumza huko na sitaki kumlaumu huyo jibaba kwa kuwa hii ni habari ya upande mmoja tu. Na kwa siku hizi tunajua mijibaba ndio inayotoa vitz, na rav4 hapa mjini wala haina muda wa kushusha mistari, unakabidhiwa ufunguo wa rav4, then habari yake kwishney.
Na kama hujakutana nao in person, wanaanza na pm kama ulivyosema hapo awali, ukionyesha positive response ndio wanaendelea mbele, kwahiyo bi shosti usiwe na jazba huo ndio ukweli wenyewe, siku hizi rav 4 ndio kitongozeo hapa mjini!!
kwenye vikao mdada anakuaga peke ake wenzie wote jinsia meHivi kwenye hivyo vikao, mpendwa umetongozwa peke yako?
Pole mwaya. Nadhani muhusika/wahusika wamekupata
sawa
lakin dahh i ya leo kali its like......mamamaaaaaaaaaaaa mamaaaaaaa juma kantongoza...!!!!!! mdada una miaka 30 apo ahhh
umeona eeeeeeeTrustme - Siku hiyo mbona wewe ndiye uliyenianza bana? Halafu ukaninunulia na mzinga wa Jack D? Sasa unakuja kunianika hapa JF?
Wewe Mama Mubaya .. Tena Mubaya Sana - Trust ME!
mmhh nimeshafika huko
lakini ngoja nirudi lol
mie ndo nataka ni lale lol
waungwana wanasema kuwa usipochafuka utajuaje usafi?
Nafikiri si kutongozana bali ni kushare experiences!!!
Usiwe na wasiwasi TRUSTME!!!!!!
Mambo switihati nimekumisi sio kipolepole jana usiku sijatia timu hapa ilikuwa siku ya pool/laga hope yo ok mi mzima.Usije nianzishia thread eti nakufataki lol!