Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Washaaza kuchanganyikiwa kabla ya tar 25! anyway tunashukuru kwa kukubali kwamba Lowassa ndo raisi ajaye,kuhusu elimu ww endelea tu na elimu yako ya kupigia domo ccm inakutosha!
 
wewe kweli mandazi kila mtu akikopeshwa ela si mfumuko wa bei huo tayari unataka tuwe Zimbabwe

mfumuko wa bei utatoka wapi wakati pesa italipwa shuleni moja kwa moja, mbona chuo kikuu wanakopeshwa na hakuna huo mfumuko wa bei?

Watoto wenu wasome feza boys, kaizirege, tusiime, babro johnson, sisi ndo mtupeleke shule za kata tukapate ziro, tupeane pesa kila mtu atafute shule yake.

Hizi porojo za hovyohovyo hatutaki.
 
Mkuu, Amini Usiamin, Unalolisema Hulifaham Vizuri.
Ungefuatilia Vizur Ndo Ukaleta Hoja.
Cjaelewa Nn Kusudio Lako La Kupinga Elimu Bure?
Au Umeona Kuna Tatizo Katika Elimu Hiyo Ya Bure?
 
acha ujinga muulize rais wako kama hajasoma bule enzi za nyerere
 
Ila elimu bure ya sisiem ndiyo itakuwa haina kupiga pesa? wewe boom litakupatia kichaa

ndiyo boom tunalitaka, leo tunalipa ada bado walimu wanadai mafao yao hawajalipwa, madawati hakuna, sasa hiyo ya bure ndo itakuwa hovyo kabisa, walimu wataanzia kwenye bodaboda kwanza ndo waje darasani angalau waongeze kipato kutokana na mishahara duni.
 

Hamtaki? Wewe na nani?
 

Fisadi ni fisadi tu hata ukimpa nini. Yeye anataka pesa ili achakachue. Alipwe halafu Mtoto asiende shule. Io ilikuwa ni hao chama chako maccm. Utawala unaokuja kila kitu new
 
Mkuu, Amini Usiamin, Unalolisema Hulifaham Vizuri.
Ungefuatilia Vizur Ndo Ukaleta Hoja.
Cjaelewa Nn Kusudio Lako La Kupinga Elimu Bure?
Au Umeona Kuna Tatizo Katika Elimu Hiyo Ya Bure?

kwa sasa serikali inatumia 1.7m kwa mwaka kusomesha mtoto mmoja, mtoto akikopeshwa hiyo pesa nikaongezea kidogo hata mwanangu atasoma tusiime na kupata div one, wewe hili hulioni?
 
Hivi mtu akikupa kitu bure na hichohicho akikikopesha bora nini?
 
Fisadi ni fisadi tu hata ukimpa nini. Yeye anataka pesa ili achakachue. Alipwe halafu Mtoto asiende shule. Io ilikuwa ni hao chama chako maccm. Utawala unaokuja kila kitu new

hivi ulishajiuliza serikali inatumia shs ngapi kusomesha mtoto mmoja? Kama sio wizi wa mchana kweupe, tupeni hela tutajua pa kusoma.
 
Hivi mtu akikupa kitu bure na hichohicho akikikopesha bora nini?

nikikopa nitatumia vizuri kwani najua kunakulipa na nikirejesha atakopeshwa na mwingine na mwingine zoezi litakuwa endelevu.
 
Hee!!!, virobaaa, bangi za bila kulaa au kuwashwa??? Lowasa kishawachanganya.
 

Wewe ni mgumba ndio maana unasema hivyo, kwani Lowassa peke yake ndio kasema elimu bure:what: fikiria kwanza kabla ya kupost ushuzi wako, mapadloc wakati akisema elimu bure ulikuwa chooni nini:what:
 
huhitaji kupiga mayowe ww kazana faulu vizuri kwa vigezo vitakavyo ruhusu ww kusoma kozi utakayo utasoma.
Kama entry requirement huna utawasikia walio makinia walio makini wakitafuna allowance mashuleni tuu, na ww ukiandika music kwenye madaftari unatafuta kuwa na fedha kwa haraka bila maarifa
kuhusu shule za ufundi mkopo wa nn wakati elimu hiyo umeambiwa utakwenda na daftari lako shuleni au unataka upewe ukanunulie kiwanja kwenu au upaue ile nyumbani ya kijijini kwenu acha mchezo mchafu kijana hiyo haipo hata ulaya
 

Na sisi hatutaki elimu ya bure ya form four tu, halafu alama za ufaulu kushushwa, elimu ya ujasiriamali bado watakuwa hawana, tunataka elimu bure mpaka Chuo kikuu. Form four atapambana vipi Dunia hii ya maarifa? Hana elimu ya ujasiriamali, takwimu, technology, no :tunataka elimu bure ya lowassa. Kwa sababu najua watainua alama za ufaulu, Ili ulipiwe lazima ukate shule, hapo tutainua upya vipaji na sio vichumia tumbo
 

Elimu ya bure wakati yeye hata uwezo wa KUWEKA pg moja ya hotuba yake kichwani hawezi,hewa tupu,akili yake imeoza tu,
 

Kwanza lowasa akili za kujua elimu anazo? Anaweza kuwambia nini wasomi? Wakati hata nusu pg ya hotuba yake kuiweka kichwani hawezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…