Joe Biden Afya MgogoroUna mashaka Raila anakata moto hivi karibuni mkuu?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
7
Raila hata stamina sijui kama anayoUna mashaka Raila anakata moto hivi karibuni mkuu?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
7
Jibu nasubiriKwani katiba za nchi zao zinasemaje Rais akikata moto akiwa madarakani?
Yaani karua mkikuyu aangushwe na mkalenjin? Siasa za Kenya huzijui wwe.Biden hagombei tena ,Raila atashinda ila atakata moto akiwa ofisini kabla ya 2027,mwaka 2027 Rutto atashinda dhidi ya Karua
Hawa jamaa hawajifunzi tu, Mwingi mbona yupo ila jamaa aliyejitapa kupiga push up ndio katangulia!!Mlisema hayahaya kwa Lowassa
Kwani hao Marais wanaume wamefanya nini miaka 60 sasa? Kila ufisadi nchi hii ulifanywa na wanaume.Ila kumuweka mwanamke nafasi kama hizi ni risk kubwa sana ambayo CCM hawatadhubutu kuirudia tena
Hawa jamaa hawajifunzi tu, Mwingi mbona yupo ila jamaa aliyejitapa kupiga push up ndio katangulia!!
Umri sio kipimo cha kifo, maisha hayaendi hivo.
Odinga kutoboa atatoboa KWa shida sana,ile ngoma ni 50/50 maombi yangu KWa RutoBiden hagombei tena ,Raila atashinda ila atakata moto akiwa ofisini kabla ya 2027,mwaka 2027 Rutto atashinda dhidi ya Karua